Search results

  1. Zyamwelele

    Ford UK wanatoa magari mazuri na nafuu kuliko Toyota Japan

    Hizi zama za VPN' ngumu saana[emoji85][emoji85][emoji85]. Unaweza jikuta umepotelea PM milele
  2. Zyamwelele

    Ford UK wanatoa magari mazuri na nafuu kuliko Toyota Japan

    Hahahah, nipo' Nachungulia tuu.
  3. Zyamwelele

    MwanaJF mwenzetu kavamiwa na wezi na kukatwa katwa Mapanga

    Mungu akufanyie wepesi katika kipindi hiki kigum unachopitia ndugu.
  4. Zyamwelele

    Unafahamu nguvu ya Wazo?

    Asante' kwa maada nzuri sana!
  5. Zyamwelele

    Wabunge wa upinzani ni makini sana bungeni

    Aliyeshiba hamjui mwenye njaa!!
  6. Zyamwelele

    Vodacom customer care Moshi ni kero

    Siku nyingine usikubali kutoka hapo ofisini paka wakupe sababu yenye mashiko kwamba nikwanini hawataki kufanya kazi ilinayowaweka pale. Na ukiwa unauhakika na kile unachokifanya unatakiwa uwe mkali paka wakutekelezee' vinginevyo wasimamishe shughuli zao... Na wakisema umevunja taratibu zao...
  7. Zyamwelele

    Kwahili nakubaliana na FAIZA FOXY

    Kumbe hoja inayeyuka akiwa huyo unaemdhani wewe? Kwahiyo hata akiwa na hoja ya msingi' kwako inapoteza uzito wake kwasababu ni Faizafoxy?
  8. Zyamwelele

    Kwahili nakubaliana na FAIZA FOXY

    Nikweli' mawazo yako yaweza nisaidia kukuza uelewa WA mambo!! Embu nieleweshe ndugu.
  9. Zyamwelele

    Kwahili nakubaliana na FAIZA FOXY

    Hamna swala lakukatishana tamaa ndugu' tunachojaribu kukifanya ni kuwa watu tunapaswa kuwa makini na haya mambo!! Tukitambua kuwa shetani nae anafanya yake' ndio maana ukifuatia maelezo yangu Kuna mahala nasema hamna namna yakuweza kutambua chanzo cha hayo ayafanyayo zaidi ya maombi.
  10. Zyamwelele

    Kwahili nakubaliana na FAIZA FOXY

    Anachokiamini yeye ni kuwa kila kinachoonekana kizuri kwaakili za kibinaadamu basi kina baraka za MUNGU' kitu ambacho si kweli!! Nadhani hajui kuwa katika ulimwengu wa roho (ulimwengu usioonekana kwa macho ya kawaida) kuna nguvu mbili kinzani.
  11. Zyamwelele

    Kwahili nakubaliana na FAIZA FOXY

    Asante kwa maelezo mazuri mkuu" kuna mdau kasema eti marekani watoto WA namna hiyo wanatokea sana. Kuna kitu umekisema hapo juu" juu ya watoto wanaopatikana baada ya kuhangaika sana katika ndoa bila mafanikio mtu anaamua kwenda kwa waganga" Hilo nalo pia lakuliangalia kwanamna yake.
  12. Zyamwelele

    Waraka kwako Abiria wangu (Binti) ninaekupaga Lifti asubuhi!!

    Ujumbe huu uliwekwa mda mrefu saana hapa' na Leo kwenye redio 1 kipindi cha habari nyepesinyepesi wameusoma' modes kazi kwenu staki kuwapangia kazi.
  13. Zyamwelele

    Kwahili nakubaliana na FAIZA FOXY

    Ni kweli kweli kwa Mungu yote yanawezekana' lakini utajuaje kuwa hili ni mpango WA Mungu? Jibu ni MAUMBI TU na sio kwakutumia uwezo WAkibinadamu.
  14. Zyamwelele

    Kwahili nakubaliana na FAIZA FOXY

    Sawa vipo hatujabisha' ILA jaribu kufuatilia kwa undani ndio utajua tunaamanisha nini!! Totally they don't exist from no where' there are some condition and situation which favour them in one way or another' wamarekani ni watu waajabu sana wanachotaka wao ni dunia iamini kwamba they posses some...
  15. Zyamwelele

    Nauliza fundi mzuri wa iphone6

    Kuna wahindi wapo pale lumumba' namba Yao nimeipoteza!! Lakini wanajulikana sana mitaa ile' we ulizia NAIM' utawapata. Wako vizuri sana.
  16. Zyamwelele

    Kwahili nakubaliana na FAIZA FOXY

    Sijaipata hii ilikuwaje?
  17. Zyamwelele

    Kwahili nakubaliana na FAIZA FOXY

    Umeelewa kinachozungumziwa lakini?haya huyo mtoto kagundua nini? Kuna mzungu alizaliwa akijua kuandika bila kufundishwa namna ya kuandika? Tusingekuwa na maswali kama angekuwa anafanya mambo ya kutengeneza vitu Fulani bila kufundishwa ILA hili la kusolve equation bila kufundishwa hata formula...
Back
Top Bottom