Search results

  1. NYEHUNGE

    Uchaguzi 2020 Shigongo ajiachia kunywa pombe na Wazee wa Buchosa

    Acha kujifanya mtabiri wa Taifa.
  2. NYEHUNGE

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Mbona anaanza kulia lia mapema hivi huyu kamanda maandazi
  3. NYEHUNGE

    TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

    Dah...!! Ni kweli " Usijisifu kwa ajili ya kesho maana haujui yatakayozaliwa ndani ya usiku mmoja". Nilikua namkubali sana huyu binti. R. I.P
  4. NYEHUNGE

    Uchaguzi 2020 Kwanini Magufuli anakubalika Kanda ya Ziwa tu

    Hatuwezi kumu-let down homeboy.
  5. NYEHUNGE

    CHADEMA/ACT-Wazalendo mkikubali zoezi hili la kuenguliwa lifanikiwe hamna sababu za kuaminiwa tena

    Hakuna mwenye ubavu wa kuingia barabarani, mtabaki kubweka tu mitandaoni kama hivi.
  6. NYEHUNGE

    Uchaguzi 2020 Nilikuwepo kwenye mkutano, sijapenda kuchangishwa fedha kinguvu

    Aisee usimlinganishe Hillary Clinton na huu utopolo wenu.
  7. NYEHUNGE

    Tangazo kwa vijana kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea mwaka 2020

    Kila la kheri vijana wazalendo watakaochaguliwa. Wacha wakajaribu bahati zao japo maumivu ya kutoboa mkataba ni balaa jingine.
  8. NYEHUNGE

    Uchaguzi 2020 Hotuba za kampeni za Lissu, naomba sana ziwe na yafuatayo

    Ila kuna watu mna vichwa vigumu sana aisee, ivi kweli mpo serious kudhani kwamba Magufuli atashindwa katika uchaguzi wa mwaka huu.? Au mnachangamsha kijiwe tu.? Jaribuni kutembea kidogo huku vijijini muone watu walivyo na hamu ya 28 Oct kwenda kumpa kura nyingi sana Magufuli kwa makubwa...
  9. NYEHUNGE

    Nini dawa ya kujiamini bila hata kutumia kilevi?

    Tafuta hela za kutosha, confidence itakuja tu automatic.
  10. NYEHUNGE

    BUCHOSA: Jimbo lenye fursa za utajiri lakini...

    Sijui unaongelea Buchosa ya mwaka gani. Maana yote uliyoandika halipo hata moja
  11. NYEHUNGE

    Nimehuzunika sana, siamini kama leo hii na shahada yangu nimekuwa mtu wa kuandalia watu chai mezani

    Ushukuru Mungu wewe una hata sehemu ya kupata chochote kitu, watu wanataabika na hawajapata hata hiyo kazi unayoidharau wewe.
  12. NYEHUNGE

    Walimu wana wakati mgumu! Darasa limejaa wanafunzi zaidi ya mia moja hana hata pa kukanyaga!

    Lwezera shule ya msingi, naijua vizuri sana hii shule. Pale hakuna uhaba wa vyumba vya madarasa kwa kiwango hiki mpaka wanafunzi wajae hivi. Huenda huyu mwalimu aliunganisha mikondo yote akawaweka kwenye darasa moja ili ionekane kuna shida kubwa kiasi hiki.
  13. NYEHUNGE

    Matumizi ya Sh10, 000 kwenye familia yamtoa mume utumbo

    Nina uhakika huyo mama siyo msukuma. Kijiji hicho wengi ni Wazinza na wakara. Wanawake wa kisukuma hawanaga roho za hivyo.
  14. NYEHUNGE

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Teh teh teh teh marefa nao hawatutakii mema.😀😀😀
  15. NYEHUNGE

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Thanks mkuu,,mi nilivyouona nikaweka GG3+. Kuna hela ya jamaa anakuja kuichukua saa kumi jioni nikaiweka..😀😀😀
Back
Top Bottom