Search results

  1. Omuregi Wasu

    Unabii wa T.B Joshua na yanayotokea South Sudan

    T.B Joshua alitabiri mauaji na kutekwa kwa Rais wa nchi. Tunakoelekea inaonekana unabii unaenda kutimia maana damu imeshamwagika kwa zaidi ya watu 500 kuuawa. Ngoja tuona maana biblia inasema neno langu halitarudi bure bila kutimiza kusudi lake. Nguvu ya waasi imekuwa kubwa kiasi cha kupiga...
  2. Omuregi Wasu

    Kuna athari gani kukua kwa haraka?

    Ninaomba msaada wenu maana mtoto wangu ameongezeka urefu wa sentimeta 4 na uzito wa kilo mbili ndani ya mwezi mmoja. Alipoenda kliniki jana baada ya vipimo hata daktari alishituka lakini ni daktari huyo huyo aliyenishauri nimpe mtoto vitu vifuatvyo mwezi uliopita (consultation ya Octoba): 1...
  3. Omuregi Wasu

    Wakati taifa likikabiliwa na njaa na mafuriko wasomi wetu wanagomea chakula!

    Wanafunzi Muhimbili wagomea chakula Na Hellen Mwango 10th January 2010 B-pepe Chapa Maoni Wanafunzi wa Taasisi ya Vyuo Shirikishi Muhimbili (Muhas) wamefanya mgomo wa kula wakipinga hatua ya kubadilishiwa ratiba...
Back
Top Bottom