Search results

  1. A

    JK Tuambie Watanzania Siri ya kumng'ang'ania Mama J.Mbene kuwa N/Waziri?

    Heshima mbele wanajamvi, pamoja na kuwa Rais Ana mamlaka makubwa ya kuteua mawaziri, kama wengi mlivyosema, haangalii competence zaidi ya ku-personalize, tunaambiwa pia mgawanyo wa kimikoa n.k hivi mama Mbene ni nani hata JK amng'ang'anie hivi? Tumekuwa nae hapa Wizarani ya Fedha alipokuwa...
  2. A

    Mbatia: Utoro wa Mawaziri Bungeni tuna Uchoko Uchoko fulani sisi Watanzania...

    Ha ha ha baadhi ya mawaziri wanajua wanabebwaa na jk, maringoo, dharauuu, kejeli, fitinaa halafu hawatoshiii-CCM wanakamianaa wao kwa wao-hay a yetuu macho-no ufanisi wowote usanii tu
  3. A

    Picha: CCM chama kilichojaa wanafiki, kinachokosa uadilifu

    Ulicho ongea ni kweli! Hawataki kubadilika! Mtu akiongea ukweli kuwafunda Wana chukiia. Wanadhani bado wapo kwenye chama kimoja siyo kwenye vyama vya upinzani. Bado wana mawazo ya mwaka 47! Watendaji wao ndiyo Kabisa madalali wa pesa busy kuchafuana wao kwa wao Upinzani unapita kilaiiini! Na...
  4. A

    Great Thinkers wa JF

    kwa nn kamanda Mapi?
  5. A

    Great Thinkers wa JF

    hahaaa asante kamanda
  6. A

    WADADA wasiosema AHSANTE baada ya zawadi|::|WANAKATISHA TAMAA

    Kama hajaipenda ashukuru nn? Mnunulie gari uone kama hujashukuriwa ww.
  7. A

    Sehemu ya kwanza-: BAKWATA ILIUNDWA NA NANI...?

    Imeundwa na Waislam kwa msaada wa serikali
  8. A

    Great Thinkers wa JF

    Salam kwenu wote. Nikaribisheni na mm nijisikie mmoja wenu.
Back
Top Bottom