Search results

  1. E

    Katibu mkuu wa ardhi ajiuzia v8 mil 5, limetengenezwa kwa mil 55

    Jamaa na kashfa zote zile amechaguliwa kukaimu TRA nakuwa CG, kweli serikali ni ile ile
  2. E

    Kashifa ya Richmond, Je Serikali ilipoteza fedha kiasi gani?

    Hiyo si kweli, unachanganya na IPTL
  3. E

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    Ni kweli kabisa chief watu wanataka Mabadiliko, full stop
  4. E

    Natafuta House Girl.

    Ambaye yupo serious tuwasiliane wadau..atakama ni ndugu yako tufanye mawasiliano..i real need her urgently
  5. E

    Natafuta House Girl.

    Natafuta msichana wa kazi asizidi umri miaka 30, awetayari kufanya kazi nje ya Dar,pia awe na uelewa wa kufanya kazi za ndani. Kwa mawasiliano piga 0713239363 au 0713708222. Mshahara ni maelewano kulingana na kazi.
  6. E

    Mtwara: Simbachawene azuiwa njiani!

    Alipita Mtwara mjini kimya kimya kaenda sehemu inaitwa Msimbati akijua kuko shwari, watu wamekata mwembe na kuziba njia pamoja na kupanga mawe, wameapa hatarudi salama bora arudie njiani. Kazi ipo huku Mtwara
  7. E

    New salary scale bank officer

    Nbc jee?
  8. E

    Eti kila weekend anajimwaga zake Bagamoyo kuubwaga moyo

    SIKIENI ENYI WATANZANIA..MUNGU AMESIKIA VILIO VYETU, TUOMBEE VIONGOZI WANAMNA HII MUNGU AWAPUNGUZIE ADHABU MAANA UNABII UNASEMA: A year of surprises - I am seeing many great, famous, popular and rich men and politicians will become helpless and in need of help in matters of sickness, disease...
  9. E

    Nini kinaendelea pale maliasili

    Juzi nimesikia Kagasheki hafahamu kwamba Nyarandu ana miliki kampuni ya Tours, sasa Jana nasikia KM hawezi toa maamuzi ya tukio la mzungu aliyekamatwa pale KIA akisafirisha nyara bila kibali maalum, kisa huyo mzungu ana fahamika kwa mh. Waziri, Haijapita week Waziri wa Maliasili alinukuliwa...
  10. E

    Mafuru resigns from NBC

    NBC haijanunuliwa na Barclays ila ABSA imenunua Barclays Bank Africa,hivyo basi wote (NBC & Barclays Tanzania) zipo chini ya ABSA ambayo ndio benki mama inaayo miliki NBC 55%, at present NBC wapo kwenye restructuring hivyo Mafuru alikuwa anapigwa chini muda sio mrefu..ameamua kukwepa hilo...
  11. E

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    Hongera sana Dr. Jakaya Mrisho Kikwete,Mwenyekiti wa chama imara CCM,Tunaimani na Wewe.
  12. E

    PICHA: Mbowe ampongeza rais Kikwete...

    Iyo picha ya mwisho mbona Mbowe kama anambinya mkono JK..usalama wa rais wako wapi,?mh.anaumizwa hivi hivi
  13. E

    Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    Ivi nikweli hili group la uhamsho lina nguvu kuliko heshi la polisi ?Yaani mmilikiwa mbwa anang'atwa na mbwa wake..
  14. E

    Muasisi wa CCJ kugombea makamu mwenyekiti UvCCM!

    Huyu kamanda mm namkubali sana,coz najua historia yake alikotoka alikuwa jirani yangu pale Mwanza, jamaa tuweke mbali u si si em,huyu kamanda ni mchapa kazi na ni mtaji mzuri kwa CCM kama watamtumia vizuri..ata Nape hamwezi huyu kamanda kwa uchapa kazi.
  15. E

    Rais Kikwete ndani ya Karatu, akielekea Monduli

    Huyo ndio Baba Mwanaasha bwana..kazi yakumsafisha mzee Mamvi imeanza,ni mpango mkakati wa siku nyingi sana huu.
  16. E

    Mwakyembe apuuza data za JamiiForums!

    mwakyembe inampasa kujivua Gamba nakuwa mkweli..He is smart lakini u system wa si-si-em unamwaribia sifa..
  17. E

    Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

    Bei halisi ya CT-SCAN Machine na sio Chumba na machine.. The compute tomography machine costs depends upon the technology systems siemens ------------------200000 usd approx toshiba -------------------180000 usd approx beckam coulter------------250000 usd approx...
  18. E

    Mwakyembe: Marufuku abiria Kuchimba dawa njiani

    swala la ajali ya MV skaggit liko mahakamani halitakiwi kujadiliwa litaaribu uchunguzi..
  19. E

    Ghana President Atta Mills Dies

    HABARI ZA KUAMINIKA NA ZAKUSIKITISHA ZILIZOTOLEWA NA CHIEF OF STAFFS WA GHANA, NI KWAMBA RAIS WA NCHI HIYO AMEFARIKI GHAFLA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 68, HE WAS THE FIRST PRESIDENT WITH PROFESSOR IN AFRICA, MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI, ALIKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWA MAENDELEO YA GHANA...
Back
Top Bottom