Search results

  1. ndetembea

    Kwanini msichana wa kiafrika lazima atongozwe maranyingi ndipo akubali?

    Imekuwa ni jambo la ajabu sana kwa msichana wa kiafrika kutongozwa mara moja au mbili na kukubali. Ili msichana wa kiafrika aweze kukukubalia inaubidi umtongoze zaidi ya mara kumi na mbili. Uongo au kweli?. Lakini huko marekani na uingereza ukimfuata msichana unapaswa kumweleza lengo lako moja...
  2. ndetembea

    Ajali za barabarani

    Ajali za barabarani katika barabara inayotoka tarakea kwenda mkuu rombo imekuwa ni tishio kubwa sana. Watu wengi sana wamepoteza maisha yao na wengine ni vilema. Wewe unaye kwenda kupanda mlima kilimanjaro kwa kutumia njia hiyo, kuwa mwangalifu sana kwa sababu kuna mambo ya kishirikina yanayo...
  3. ndetembea

    Urafiki

    Urafiki ni kitu muhimu sana. Kuna urafiki na uchumba, watu wengi huchanganya pamoja vitu hivi. Uchumba ni aina ya urafiki kati ya msichana na mvulana walio na matarajio ya kuoana.
Back
Top Bottom