Search results

  1. sir Ganto G

    Uhamisho wa kazi kwenda wizara nyingine

    Habari wadau. Naomba kujua kama kuna uwezekano wa muajiriwa wa serikali kuhama wizara kwenda wizara nyingine. Je, mwajiriwa anaweza akaomba kwenda wizara nyingine kama ana vigezo vinavyokidhi kuhamia wizara husika?. Tafadhali naomba kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa na hili. Natanguliza...
  2. sir Ganto G

    Msaada: Minyonyo na mibono kwa kiingereza

    Habari wana jamvi, naomba nisaidiwe maneno haya mawili yanavyotaitwa kwa kiingereza au kwa majina ya kibaologia 1. Mibono 2.Minyonyo Natanguliza shukrani zangu za dhati...
  3. sir Ganto G

    Natafuta rafiki wa kike

    Habari wana JF, Nami wacha nitumie fursa hii kutafuta rafiki wa kike baada ya kuwa mpweke kwa zaidi ya miezi minne mimi ni mtumishi na nina miaka 30 naishi Dar. Sifa:awe anajitambua,flexible,msafi wa kila kitu,anayependa kujifunza na awe japo ni mhitimu wa kidato cha sita Umri:kuanzia miaka 23...
  4. sir Ganto G

    Msaada nimenunua muda wa maongezi nisiohiyaji.

    Msaada wadau nimenunua muda wa maongezi mkubwa kuliko niliokuwa nahitaji kupitia M-PESA. Nilikuwa nahitaji 10000 bahati mbaya nikanunua wa laki moja.Kama kuna mdau amewahi kutana na hii kitu tafadhali nishauri.
  5. sir Ganto G

    Wanafunzi na Mwalimu .

    Mwalimu "Watoto wazuri kesho kila mtoto aje na hadithi ya kusimulia,na atawaambia watoto wenziwe kuwa inawafundisha nini" Siku ya pili, haya tuanze hadithi zetu,haya rose pale, Rose " siku moja mama alinituma kununua soda nne za wageni,njiani na mimi nikatamani soda,nikakaa chini nikanywa...
  6. sir Ganto G

    Walevi watatu

    Walevi watatu waliita taxi, Dereva taxi alipowaona wamelewa chakari akawasha gari na halafu akazima, walevi wawili wakampa hela na kumshukuru. Yule wa tatu akamnasa kibao dereva, Dereva akashangaa kuwa amejuaje kamchezo alikowachezea, Halafu akasema "siku nyingine usikimbize gari hivo utakuja...
  7. sir Ganto G

    Toto tundu

    "Baba! baba! baba!" mtoto anaita kwa nguvu kutoka bustanini. " Gari letu limeibiwa!" " ulifanikiwa kumwona aliyeiba?" " Hapana,ila nilifanikiwa kuandika namba ya gari".
  8. sir Ganto G

    Dogo Janja na Kinyozi.

    Wakiwa saloon kinyozi akamwambia rafiki yake " kuna dogo mmoja ni mjinga mjinga sana,sijawahi ona dogo mjinga kama yeye, na muda si mrefu atakuja na ntakuthibitishia ujinga wake. Dogo akaangia saloon, Kinyozi akachukua noti ya elfu mbili akaweka mkono wa kulia na coins za mia mia mbili mkono wa...
  9. sir Ganto G

    A Young old man. (A MUST READ JOKE)

    A young woman was jogging when she saw a wrinkled old man smiling at her from his stoep. " You look so happy," she called out to him. " What's your secret for a long and satisfying life?" "I smoke three packets of cigarettes a day," he replied, " And I drink a case of whisky every week, eat...
  10. sir Ganto G

    Little Jonnie

    While playing in the backyard little Jonnie kills a honey bee. His father sees this and screams "no honey for you for a month. Later on the day little Jonnie was pulling the wings off a butterfly, His father says "no butter for you for a month" At a dinner time little Jonnie sees a...
  11. sir Ganto G

    Blind man & Husband

    Husband and Wife are waiting at the bus stop with their nine children. A blind man joins them,after a few minutes when the bus arrives,they find it overloaded and only the wife and kids are able to fit onto the bus.So the husband and the blind man decide to walk. After a while, the husband gets...
  12. sir Ganto G

    kipofu

    kipofu mmoja aliingia mgahawani huku amevaa miwani mweusi. Baada ya kukaa, kaka mmoja mhudumu akaja kumsikiliza na kusema "nikupe chakula gani au nilete menu uchague mwenyewe?" Yule kipofu akajibu "mimi sioni, ila letu kijiko alichotumia mteja wa mwisho alafu ntaagiza kile alichokula" yule...
  13. sir Ganto G

    Mfungwa Katoroka Jela

    Mfungwa mmoja alitoroka jela baada ya kutumikia kifungo chake kwa miaka Ishirini na akiwa amevaa uniform,uso ulikuwa unatisha na alikuwa na ndevu nyingi. Baada ya kutembea kwa muda akakiona kijiji cha kwanza.Akaingia nyumba moja na kukutana na Mume na Mke,wakiwa na hofu kuu huku wakitetemeka...
  14. sir Ganto G

    Rappers

    Rappers are like pens at the bank. They all have chains on them, and dont write very well.
  15. sir Ganto G

    je tafsiri ya msemo huu ni sahihi?

    ndugu wanajamvi, nikiwa naangalia muvi moja ya kibongo nimekutana na msemo huu,..jamaa alikuwa anaomba ushauri kuhusu jambo fulani na rafiki yake asema hivi..."kichwa chako ndio serikali yako" na subtitle ya kiingereza ikasomeka hivi "our governments are in our heads"..Naomba watalaam wa lugha...
Back
Top Bottom