Search results

  1. The Quonquerer

    Rais Putin atoa amri kushambuliwa kwa Saudi Arabia na Qatar

    Je waafrika hawatumiki kumalizana wao kwa wao ?
  2. The Quonquerer

    Fear over EAC's future as Tanzania is sidelined again!

    won't lose a sleep , am pro SADC ! they can go ahead and be what they wanna be
  3. The Quonquerer

    Tanzania na ushirikiano wa Afrika Mashariki

    I've just come back from ban, yes it's painful but it brings discipline . But equally people like Mokala who incite hate against other segment of a community should be banned !
  4. The Quonquerer

    Kagame's true colors!

    Am seeing a heated debate between Jokakuu kuu and Murutongore what is the matter ? I suspect Jk is a tz and Muru a Rwandan ? Me Mhangaza wana.niiita eti Mnyarwanda au Mrundi. Jk mtu aliyeua watoto wako wote na wazazi wako na mke wako unaweza kujadiliana naye amani kama bado anakukimbia na...
  5. The Quonquerer

    Kagame Receives Congressional Delagation

    Why is this heated ?
  6. The Quonquerer

    Vigezo hivi visitumike katika kutambua wahamiaji haramu....

    Unajua unachoongea, siyo kenge kama kina Mokala !
  7. The Quonquerer

    Vigezo hivi visitumike katika kutambua wahamiaji haramu....

    MOKALA is a disgrace to Tanzania , chuki uliyonayo juu ya hiyo asili unayoichukia itakugharimu wewe mwenyewe. Tofautisha kabila na siasa , hata Kagame ana maadui wa kisiasa wa kabila lake ! !MOKALA Mi Mhangaza, watu wa kwetu wamekwenda hewani kama wa Burundi na Rwanda njoo unifukuze ! Kama .ni...
  8. The Quonquerer

    Vigezo hivi visitumike katika kutambua wahamiaji haramu....

    Mods kuna post yangu hapa ime dissapear na ilikuwepo naomba irudi ! Siwezi kufanya Kami mara 2, au karma na nyie ni waasi mseme !
  9. The Quonquerer

    Rwanda condemns continued DRC bombing of Rwandan villages

    Jasusi umenena ! The fact kwamba sichangii Hu.mu ndani ni watu kama wanaotumia makabila ya watu kufikia conclusions zao wanazozita ! Siasa na kabila .ni vitu tofauti ! Je watusi wote wanna support Kagame ? Wachaga wote ni Chadema ? watusi wote ni Wanyrwanda ? wakurya wote ni WaTz ? wadigo wote...
  10. The Quonquerer

    Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

    Mokala you are a Congolese , utulie wote tuwasetiri. Tanzania hatubagui , lakini kuanza kuchukua wenye matatizo kama kwako siyo! Si kila mtanzania anachukia wanyarwanda , wawe wahutu au watusi! what happened to them is politics that went wrong , just like the present Arab spring that is still...
  11. The Quonquerer

    Congo Rebellion: Clinton Defends Kagame

    Mokala is Hitler Sub 1.
  12. The Quonquerer

    Congo Rebellion: Clinton Defends Kagame

    Niwemugizi, & co. Je Clinton naye ni mtusi ?
  13. The Quonquerer

    Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

    hao machangu wa dodoma wanawabaka ? .si mnajiingiza king wenyewe ? penye biashara kuna mteja baba ! wengine wachonga fanicha na nyie mwachonga maneno !
  14. The Quonquerer

    Tanzania na ushirikiano wa Afrika Mashariki

    mi ni Mhangaza wa Ngara , naomba mtu ni Nim PM namba yangu ya simu aje anikamate!! mi siyo raia na ninatanua kwa kwenda mbele !!
  15. The Quonquerer

    Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

    utakufa utawaacha , dunia mapito kenge wewe !
  16. The Quonquerer

    Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

    kuchukia kabila la mtu unatesa roho yako mwenyewe ! na hatari kwa usalama wako ! ni sawa na fisi anayesubiri mkono wa binadamu udondoke aule
  17. The Quonquerer

    Rwandans expelled from Tanzania being resettled in Kirehe District

    waambie , naona kuna watu wanatoa mapovu bila kujua history ya nchi za Rwanda,Burundi na Uganda .wanashindwa kujua kuwa wanafanya kama wao kwa kufanya hivyo !
  18. The Quonquerer

    Tanzania na ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Mimi niko central government , tena wizara nyeti ! njoo uniguse ! uhamiaji nashinda nao kila siku ! unadhani utabadilisha kitu kwa ubaguzi na chuki ! ya ngoshwe mwachie ngoshwe !
  19. The Quonquerer

    Tanzania na ushirikiano wa Afrika Mashariki

    jamani hasira za nini ? tunatakiwa wakongo , wanyarwanda tuelewane .... of course Tanzanian territorial integrity will have to prevail .. chuki haikuwahi kusaidia binadamu yeyote , killing people ni kuua raslimali watu, who will buy goods if you don't have customers ?
  20. The Quonquerer

    Tanzania na ushirikiano wa Afrika Mashariki

    well said chash , naomba kufuta maneno makali niliyotumia .. tujadili issues si makabila ya watu
Back
Top Bottom