Mimi ni MWANAUME mtu mzima naitwa ROBIE.Kwa heshima kubwa napenda kutafuta mwanamke awe mtu mzima mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi,awe aliyeamua kuishi maisha ya kulinda afya na ambae hajiusishi na tamaa za mapenzi!!umri kuanzia miaka 40 na kuendelea,mwanamke mtu mzima aliyetayari na...
Mwanamke mtu mzima mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI namuhitaji ili tuishi maisha ya matumaini napenda awe mtu mzima kwakuwa mimi pia ni mtu mzima naomba
tuwasiliane kwa 0658 511 714.
Karibu sana
Natafuta mwanamke mwenye maambukizi ya Virusi vya ukimwi,umri wangu ni miaka 47 tuwasiliane kwa email ifuatayo sekenemboh@gmail.com au tuma sms ktk namba 0715 33 85 27 ahsante!!
Mimi ni mwanaume mtu mzima umri wangu ni miaka kati ya 45 na 50 natafuta rafiki mwanamke(kampani) nitakae kwenda nae ktk ukumbi wa Harusi Hapa Dar es salaam siku ya IJUMAA TAREHE 4/11/2015 mawasiliano ni 0718531823 karibu
Habari zenu wanawake
Mimi ni mwanaume mtu mzima nina miaka 46,kwa heshima kubwa na nina nia ya dhati kutoka moyoni na upendo wa kweli moyoni mwangu,najitokeza kutafuta mwanamke kwa maisha inapobidi kufunga nae ndoa.
Sina ubaguzi wowote,kikubwa awe na upendo wa dhati na mkweli,yule mwanamke...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46,ninatafuta mwanamke wa kufunga nae ndoa,sina ubaguzi wowote ule na nipo Serious juu ya suala ili,yule mwanamke aliyekuwa tayari kuingia ktk maisha ya Ndoa tafadhali tuwasiliane kwa 0718 98 97 65 au PM tafadhali.KARIBU
Habari zenu marafiki na ndugu zangu wa hapa jamii,nimekuja mbele yenu,naomba msaada kwa yule anaefahamu shule yoyote ya ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL AMBAYO NI BOARDING ILIYOKO KTK MKOA WA NJOMBE NINA WATOTO WANGU NAITAJI WASOME KUANZIA MWAKANI 2014,RAFIKI YOYOTE AMBAYE ATAKUWA ANAFAHAMU NAOMBA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.