Search results

  1. Z

    The Life and Death of Michael Jackson & Other stories over him

    si unajua kwa misifa ili tuonekane tu na sie tulikuwepo
  2. Z

    The Life and Death of Michael Jackson & Other stories over him

    tz haikutajwa alichukizwa na kauli za watz pale tuliposema amefunika pua lake eti tz unanuka kumbe sio hivyo alikuwa ametoka karibuni kuchonga pua lake na hapo tz joto kali na vumbi kali ndipo alipoamia azibe pua lake na sipo hapo tz tu hata huko kwao huziba pua lake. walikini bongo...
  3. Z

    Kuna 'teja' kwa kila familia Zanzibar-BBC utafiti.

    kuna familia nyiengine zote teja. kuanzia baba, mama na watoto. na ukikosa hapo bazi wengine wizi familia nzima
  4. Z

    Kuna 'teja' kwa kila familia Zanzibar-BBC utafiti.

    umechelewa patupatu imeingia toka 1964 imeletwa na wamakonde alafu nikuulize? wewe mmakonde nini? kuna pombe mpaka inayotengezeza mkojo
  5. Z

    Kuna 'teja' kwa kila familia Zanzibar-BBC utafiti.

    kuna unafiki tu. hakuna shehe wala muislam wala watu wake waislam wote walevi kuanzia juu hadi chini
  6. Z

    Kuna 'teja' kwa kila familia Zanzibar-BBC utafiti.

    unajua maana ya ``washirazi`` washirazi maana yake ni watumwa waliopewa nguvu na wana mapinduzi unajua maana ya ``mapinduzi`` mapinduzi ni yale yalioletwa kutoka bara na waliofanya mapinduzi ni wabara na kuwapa washirazi waharibifu wa zanzibar. chama cha mapinduzi asili yake bara...
  7. Z

    Kuna 'teja' kwa kila familia Zanzibar-BBC utafiti.

    kwani hujasikia dada yetu kutoka tz kwenye bbc litumwa atangase eti wana jinsia mbili wamepewa na mungu. sisi tunaisikiliza na uzushi wao. hao mashoga na wasukumamavi ndio maboss wao. hawatangazi watawatetea eti wana jinsia mbili wameumba nazo na mungu hii ndio bbc inavyotufundisha
  8. Z

    Kuna 'teja' kwa kila familia Zanzibar-BBC utafiti.

    bbc swahili imejaa laana sasa. kuna watu humo wanaotetea hata mashoga na kusema eti wana sehem mbili za siri na hizo wamepewa na mungu. mwanamama mmoja wa tz mtangazaji wa bbc akiwatetea mashoga. na hao mashoga wakitizamwa wana alama kama kawaida ila hujitunga sindano na kufanya maziwa...
  9. Z

    Lini SMZ ilijali maafa ya wananchi wake!?

    tena hao huwacharaza wana cuf wenyewe huwaita rusha roho au menlord na kama hawana vimbo basi hununuliwa kuni
  10. Z

    Lini SMZ ilijali maafa ya wananchi wake!?

    unawajua vilivyo. hupati kazi hiyo kama wewe kura yako sio ya ccm lakini ukitia kura yako basi hiyo ndio kazi yako na hao viongozi walio hapo wote wivi na wanyangànyi kwani nchi si yao asili zao wanaziju kuua maendele mtumwa toka lini awe na uchungu na kitu kisicho chake ccm asili...
  11. Z

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    kwani nyerere alitokea wapi? mie namkumbuka nyerere aLIJIFANYA muislam naye na kutoa salm aleikum historia fupi alikuja kusoma na kutoka kwao na baadaye alipopata wenyeji alisilim na kuwa muislam na baadaye akarudi ukatoloki. watoto watabishana hapo lakini wakawaulize babu zao kwani...
  12. Z

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    kwa kukujibu tu ccm sio chama cha uislaam ila ni chama cha wakiristo kwani hata hao unaowaona hapo sio waislam ila tu ni watu wanaotumiwa kwa faida ya ukiristo si uliona mzee wa ruhsa alivyopewa kibano juu ya kuunganisha ukiristo na uislam kuwa ndugu ndini inasema kila mtu n dini yake...
Back
Top Bottom