Search results

  1. N

    Kabla hujakubali kuwa punda wa kubeba madawa, angalia picha hizi kwanza.

    Naona mnataka kufa siku si zenu. Hii nchi kwisha habari yake. Ushauri wangu siyo kuwataja. Ila tufanye kampeni wakose soko tuone watayafanyaje. Tuondoe mateja wanaoonekana na waliojificha.
  2. N

    Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Nashukuru sana kwa taarifa.
  3. N

    Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Natafuta hotuba za nyerere zikiwa katika audio au video. Mwenye kujua nitazipata wapi anijulishe
  4. N

    Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    Mh Mwigulu. Nimekukubali wewe ni mzushi wa historia. Unakariri kuwa shilingi ya Tanzania ni sawa na ya Kenya, kwamba Dollar ya USA ni sawa na ile ya Zimbabwe. Kikundi siyo jina lake, bali ni matendo yake. Hivi nikikwambia kuwa kuliwahi kuwa na kichaa anaitwa Mwigulu utasema ndo maana uliitwa...
Back
Top Bottom