Search results

  1. S

    Msaada jamani madakatari wetu

    Mdogo wangu amekuwa akusumbuliwa na Shida ya constipation siku nyingi sana, sasa Leo ameniuliza juu ya dalili alizonazo kuwa ni kitu gani na he kinatibika? Ni hivi anadai kuwa siku hizi akienda choo kunakuwa Hanna connection kati ya tumbo na njia ya haja kuwa na hata akitumia nguvu nyingi...
  2. S

    Je ninaweza kukishitaki chuo kikuu?

    Habari wakuu naombeni msaada wenu ninaweza lukishitaki chuo kikuu kwa kutonipa chet change bila sababu ya msingi??naombeni ushauri
  3. S

    Nimekataliwa na baba mzazi mara ya pili

    JF habari, Kwanza nina hasira sana, nimezaliwa miaka 24 iliyopita nimelelewa na mama tu, siku zote akisisitiza kuwa baba yetu alikufa Kabla hatujazaliwa (tupo mapacha ). Nikiwa mwaka wa kwanza chuoni ghafla baba huyu alitokea nikaonana nae akasema garama zote za Chuo atalipa sasa mimi sikuwa...
  4. S

    Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    Habari JamiiForums! Mimi nimehitimu shahada ya kwanza katika sanaa ya maendeleo BACHELOR OF ARTS IN DEVELOPMENT STUDIES-BADS mwaka jana UDOM, naishi Wilaya ya Nyamagana. Natafuta kazi ikiwezekana hata ya kujitolea tu. Yeyote anayeweza kunisaidia tuwasiliane 0753160075 au whatsApp no hiyohiyo...
Back
Top Bottom