Search results

  1. Tougher

    Natafuta miche ya migomba

    Wanajamvi naomba msada wapi nitapata miche hii kwa maeneo jirani na Dar es Salaam? Natafuta miche ya migomba Mzuzu, Kimalindi, na Mshale Ndimi Tougher
  2. Tougher

    Ng'ombe wa kisasa wa maziwa wanahitajika

    Wakuu, Naomba yeyote anayeuza au kujua mtu anayeuza Ng'ombe wa maziwa anayekamuliwa lita kuanzia 6 kwa mkamuo, naomba anitaarifu nahitaji ng'ombe wawili wa aina hiyo. Kama wakiwa jamii ya Friesian nitafurahi zaidi. Nipo Dar es Salaam Asanteni sana
  3. Tougher

    Natafuta Ng'ombe wa Maziwa

    Wakuu, Naomba yeyote anayeuza au kujua mtu anayeuza Ng'ombe wa maziwa anayekamuliwa lita kuanzia 6 kwa mkamuo, naomba anitaarifu nahitaji ng'ombe wawili wa aina hiyo. Kama wakiwa jamii ya Friesian nitafurahi zaidi. Nipo Dar es Salaam Asanteni sana
  4. Tougher

    Nahitaji nguruwe dume

    Wakuu, Ninahitaji nguruwe dume mkubwa mwenye uwezo wa kupanda jike lenye kilo 120 au zaidi. Akiwa large white au landrace itakuwa vizuri zaidi. Mwenye naye anipe bei tufanye biashara, nipo Kigamboni Dar es Salaam. Wasalaam Tougher
  5. Tougher

    Usajili wa consultancy firm

    Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha na kusajili Consultancy firm.
  6. Tougher

    Je ninahitaji kuwalipa maafisa Mifugo wa vijiji\kata

    Wakuu naomba kujua kuhusu utaratibu wa kuwatumia maafisa Mifugo wa serikali. Je wakija kunitibia Mifugo yangu natakiwa kuwalipabei gani?
  7. Tougher

    Soko la Pembe za Ng'ombe

    Wakuu, Habari ya kazi. Naomba kujua wapi napata soko la uhakika la pembe za ng'ombe? Aliye na contacts naomba anipatie. Natanguliza shukrani zangu za dhati Tougher
  8. Tougher

    Ninahitaji Excavator/BullDozer

    Wakuu, Nina Shamba langu lenye ekari 40 maeneo ya mkuranga, Ninataka kusafisha jumla ya ekari 10 ili niweze kujenga mabanda ya mifugo na kupanda mazao machache. Ninaomba msaada mwenye kujua wapi ninaweza kupata either Bulldozer, Excavoator, au machine yoyote yenye uwezo wa kusafisha shamba...
  9. Tougher

    Naomba Msaada nipate Kujua

    Wakuu, Majina ya watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza yametolewa hadharani? Kama tayari naomba kujua wapi naweza kuyapata. Natanguliza Shukrani
  10. Tougher

    Ninahitaji Consultant kwa ajili ya biashara zangu tatu

    Ninahitaji mtu au kampuni inayoweza kunifanyia registration ya biashara zangu 3 (BRELA tayari nimemaliza nahitaji leseni), 1. Licensing ya Insurance Agency/Broker 2. Licensing ya Micro finance Company. 3. Mobile money Agency business (for all major Telecom coys i.e. TigoPEsa, Mpesa, Airtel...
  11. Tougher

    Jamani nifanyeje naomba mnipe muongozo

    Ndugu zangu, Mimi ni mkulima mdogo wa korosho katika mkoa wa pwani. Mazao shambani mwaka huu hayakuwa haba licha ya kuibiwa kidogo (huu ni uzembe wangu niliajiri mtu asiye muaminifu licha ya kumpa ujira mzuri), nilifanikiwa kupata jumla ya kilo 1500 za korosho. Malengo yangu ya mwaka huu...
  12. Tougher

    Msaada tutani

    Wakuu poleni na kazi, Nahitaji kusafirisha ng'ombe kutoka mbeya kuja Dar. Naomba kujua ninaweza kupata wapi usafiri ambao ni economical kusafirisha ng'ombe kama 10 hadi 15?
  13. Tougher

    Kiwanja kikubwa kinauzwa kigamboni- Karibu na Dege apartments

    Kiwanja chenye ukubwa wa Square metre 2350 kinauzwa. Kiwanja kipo kigamboni kimbiji karibu na Dege appartments, ni tambalale hakina miinuko wala mabonde. Miundo mbinu ya barabara na umeme tayari ipo. Kiwanja ni surveyed na kina hati. Bei ni TZS 80 millioni. Hakuna dalali karibu tusemezane
  14. Tougher

    Changamoto za Kilimo

    Kuna msemo unaosema usitazame na kutamani mafanikio ya mtu peke yake, tazama pia na njia alizopitia kufikia mafanikio hayo. Si kwa kilimo pekee ni katika jambo lolote lile ulifanyalo utakumbana na changamoto, mafanikio yako yatategemea mtazamo wako katika changamoto hizo na utayari wako...
  15. Tougher

    Natafuta Ndama dume wa kisasa

    Habari zenu ndugu zangu, Ninahitaji ng'ombe wadogo wa kisasa (chini ya mwaka 1 prefarably) kwa ajili ya kununua. Nipo Dar es Salaam, aliyenao naomba anipatie bei yake na yupo wapi. Kwa wale wa Dar na pwani nitakuja kuwaona hapo walipo, kama upo mbali na Dar naomba weka na Picha...
  16. Tougher

    Ndama dume wa kisasa wanahitajika

    Habari zenu ndugu zangu, Ninahitaji ng'ombe wadogo wa kisasa (chini ya mwaka 1 prefarably) kwa ajili ya kununua. Nipo Dar es Salaam, aliyenao naomba anipatie bei yake na yupo wapi. Kwa wale wa Dar es salaam na Pwani nitakuja kuwaona hapo walipo, kama upo mbali na Dar naomba weka na Picha...
  17. Tougher

    Kwa wakazi wa Dar es Salaam, nagawa bure mbolea ya ng'ombe

    Wakuu. Kwa yeyote mwenye uhitaji wa mbolea ya Ng'ombe awasiliane na mimi, nitakupatia bure kabisa. Karibuni, Tougher.
  18. Tougher

    Kuchimba Kisima cha Maji

    Wakuu mwenye uelewa anisaidie. Naomba kujua gharama za kuchimba kisima chenye urefu (kina) cha mita 85 katika wilaya ya Mkuranga maeneo jirani na kimanzichana. Natanguliza Shukrani Tougher N.B Nimekwishafanya Survey na report imetoka kuwa naweza kupata maji kwa kina hicho.
  19. Tougher

    Mtandao wa LUKU Una tatizo gani?

    Jamani naomba kuuliza kuna tatizo gani mbona mtandao wa LUKU haufanyi kazi toka jana hadi leo?
  20. Tougher

    Natafuta Mabanzi

    Wakuu, Yeyote anayejua tafadhali naomba anijuze. natafuta mabanzi kwa ajili ya kujengea mabanda ya mifugo shambani kwangu. Tafadhali suppliers mniambie yapo wapi na mtaniuzia bei gani kwa kila banzi. Asanteni Tougher
Back
Top Bottom