Search results

  1. Tougher

    Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    Huoni aibu kuandika hayo uliyoyaandika kwenye nyekundu hapo?
  2. Tougher

    Natafuta miche ya migomba

    Wanajamvi naomba msada wapi nitapata miche hii kwa maeneo jirani na Dar es Salaam? Natafuta miche ya migomba Mzuzu, Kimalindi, na Mshale Ndimi Tougher
  3. Tougher

    Ng'ombe wa kisasa wa maziwa wanahitajika

    Asante sana mkuu
  4. Tougher

    Natafuta Ng'ombe wa Maziwa

    Mkuu una contacts zao unisaidie?
  5. Tougher

    Ng'ombe wa kisasa wa maziwa wanahitajika

    Naweka order wapi mkuu naomba muongozo
  6. Tougher

    Ng'ombe wa kisasa wa maziwa wanahitajika

    Wakuu, Naomba yeyote anayeuza au kujua mtu anayeuza Ng'ombe wa maziwa anayekamuliwa lita kuanzia 6 kwa mkamuo, naomba anitaarifu nahitaji ng'ombe wawili wa aina hiyo. Kama wakiwa jamii ya Friesian nitafurahi zaidi. Nipo Dar es Salaam Asanteni sana
  7. Tougher

    Natafuta Ng'ombe wa Maziwa

    Wakuu, Naomba yeyote anayeuza au kujua mtu anayeuza Ng'ombe wa maziwa anayekamuliwa lita kuanzia 6 kwa mkamuo, naomba anitaarifu nahitaji ng'ombe wawili wa aina hiyo. Kama wakiwa jamii ya Friesian nitafurahi zaidi. Nipo Dar es Salaam Asanteni sana
  8. Tougher

    Nahitaji nguruwe dume

    Wakuu, Ninahitaji nguruwe dume mkubwa mwenye uwezo wa kupanda jike lenye kilo 120 au zaidi. Akiwa large white au landrace itakuwa vizuri zaidi. Mwenye naye anipe bei tufanye biashara, nipo Kigamboni Dar es Salaam. Wasalaam Tougher
  9. Tougher

    Nimemfuma mtoto wa mke wangu akinichungulia

    Jambo la kufanya ni moja tu, tangulia segerea kwa kuwa utafungwa tu. Mtu gani usiyekuwa na lepe la heshima?
  10. Tougher

    Nauza shamba Mkuranga

    Mkiu upande upi mkuu? Upande wa kulia au kushoto ukitokea Dar?
  11. Tougher

    Nauza simu yangu iphone 5s

    Hilo ni kosa kisheria, hebu soma sheria ya makosa ya mitandao uelewe
  12. Tougher

    Cafe Inauzwa

    HIYO MILLION TANO INATOKA WAPI?
  13. Tougher

    Nyoka wa ajabu

    Shukuru Mungu hukuona choo........
  14. Tougher

    Mbegu ya Nguruwe wenye Mimba

    Hicho kijiji kipo wilaya gani? I am interested
  15. Tougher

    Naombeni ushauri wa haraka, nimevurugwa mie

    Uza hao vifaranga wanaototoleshwa hapo nyumbani kwanza, ili kupata mwanzo mzuri. Wana umri gani hao vifaranga na ni wa kuku aina gani?
  16. Tougher

    Nimerudi tena kwa wale wadau wa ujasiriamali hasa hardware, transport, microfinance

    Mkuu ili nipate leseni ya management consultancy natakiwa niwe na vitu gani?
  17. Tougher

    TCRA kwa kuendelea kuwadekeza Clouds kuna siku watatuwekea Ngedere kutangaza taarifa zao za Habari!

    Unajua kama mwanao anaperform darasani kama Taifa stars kwenye soka la kimataifa, utachukia tu kila unapoona wa wenzako wanapaa na kupata fursa
  18. Tougher

    Bei ya machine ya interlocking blocks

    Nenda kwenye thread hii kuna majibu Interlocking bricks machine
  19. Tougher

    Usajili wa consultancy firm

    Asante Mkuu lengo kuu ni Business Consultancy hasa Business Management, Risk Management, na training katika maeneo hayo
Back
Top Bottom