Search results

  1. C

    Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

    nakuunga mkono kwa 100%.
  2. C

    Naomba Tutambuane Wakazi Wa Mwanza Wanaoishi Dar Es Salaam Sasa

    Nyegezi seminary hapa!Nipo Kigamboni.
  3. C

    Usiombe kukutana na jambazi akiwa kazini..!

    Yaani wana jf hawapo makini.Jamaa anawapima kama mnakuwaga makini na usomaji,yeye kaweka tarehe ya leo then akasema jumatatu,kitu ambacho hakipo,story yakutunga hii
  4. C

    I'm HIV+VE but i still enjoy life.

    I don't worry,i'm happy,yeah,i'm HIV+ve.SO WHAT?
  5. C

    Naomba pesa

    Duh!mwaga mboga nimwage ugali.
  6. C

    Taja mifano ambayo ilikufurahisha pindi unaposoma

    Mfano wa mwalimu wangu wa nidhamu wa o level,mwl.----.
  7. C

    Mjumbe wa Katiba ndani ya Boda Boda

    Hii nzuri,mzee sio limbukeni kama malimbukeni wengine.
  8. C

    Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    we Patrickn nini sasa?jibu swali usiongeze swali jingine bhana.
  9. C

    Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Eti anayejua nini chanzo cha maeneo haya mpaka kuitwa majina haya?
  10. C

    Nyie mgambo wa jiji,sio kila mwendesha pikipiki mitaa ya posta ni bodaboda,wengine ha

    Hv kwanini Dar sasa hivi inakera na inaonekana si salama tena?Hv kwanini raia wananyanyasika pasipo sababu za msingi,sisi sote niwatanzania,ila najua kwamba tunazidiana kiuchumi,utakuta wengine wanamaisha fukara,wengine masikini,wengine wenye maisha xa kati na wengine matajiri,na wengine ni...
  11. C

    Ving'ora vya FFU Dar es salaam

    wewe vipi?Njoo tu mock bangi basi,nakuandalia kete 3 na kali nusu.UTAWEZA MAPIGO?
  12. C

    Ving'ora vya FFU Dar es salaam

    chama gani?Acha kumbwela mtoto wakiume.Majungu hayo,ambayo hayakufikishi popote.R.U.B.B.I.SH.
  13. C

    Ving'ora vya FFU Dar es salaam

    Sio lazima upost kitu chochote humu jf.JF sio solution ya kila kitu.Vitu vingine unatakiwa ufanye utafiti wewe mwenyewe.Au unatafuta sababu yakuisimanga F.F.U?,kaa chini ufikirie maisha yako na si maisha yawenzako.AchaMAJUNGU MKUU.
  14. C

    Nini bado hakijagunduliwa?

    Hawajagundua kwanini binadamu ana kichwa kichwani na si kiunoni?
  15. C

    Tarehe moja April: Jihadharini na 'siku ya wajinga'

    teh teh teh,kwani Slaa anajua kila kitu?Au yeye ndio kiongozi wa hao unaowaita wajinga?
  16. C

    Invisible akamatwa na unga kilo nne na nusu hongkong

    oyaaaa,wewe wawapi?leo siku yawajinga.Usiamini uzi wowote humu jf leo.Hakuna story ya kweli.
  17. C

    Invisible akamatwa na unga kilo nne na nusu hongkong

    Hoyaaaa,acheni mambo ya uduwanzi,kwann mnaturusha roho juujuu hivyo?yaani story ilivyokaa unaweza ukajua kweli,ndo maana nimestuka mapema nakugundua kuwa ni uongo,kwani leo ni siku yawajinga duniani.
  18. C

    Smoke GANJA,and you will perceive the positive outcomes.

    Naomba uzi wangu,wenye kichwa cha habari hapo juu,ili watu wausome nakuuelewa.
Back
Top Bottom