Search results

  1. Think Tank1

    Nimepata kidonda sehemu za siri kinauma sana nitumie dawa gani?

    Kutokana na maelezo yako inaonekana una ugonjwa unaoitwa Chancroid, ni sexually transmitted Infection(STI) inasababibwa na bacteria wanaitwa Haemophilus ducreyi. Usiichanganye na Kaswende(Syphilis) ambayo kidonda chake huwa hakiumi(painless chancre)...Ushauri nenda na mwenzi wako kwenye kituo...
  2. Think Tank1

    Redbregade ya CHADEMA~Kibonde wa Clouds Fm kweli ni kibonde

    Ni sahihi kabisa, hatua ya nne(Stage IV) ya Ugonjwa alionao husababisha baadhi ya wagonjwa kuchanganyikiwa(Kitaalamu inaitwa .....encephalopathy).Kwa hiyo naomba mhurumieni badala ya kumzomea.Hajui atendalo.
  3. Think Tank1

    Barua ya Mch. Mtikila kwa rais Kikwete!!..Wazanzibari mpoooo???!!

    Mtikila ni mzalendo halisi wa Tanganyika, tatizo lake hana focus, hajui anataka nini na asimamie nini. He is a very controversial politician.
  4. Think Tank1

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Wizara ya mambo ya nje inapaswa kutoa kauli juu ya hili jambo, sababu tukiendelea kukaa kimya wakati hatujui Kagame anapanga kufanya nini, ni hatari kwa Taifa letu.Mheshimiwa Membe tafadhali tuelezeni watanzania kuhusu hizi kauli za kichochezi za Kagame. Mungu Ibariki Tanzania.
  5. Think Tank1

    Polisi wahaha juu ya kauli ya CHADEMA kuimarisha ulinzi wa viongozi kupitia Red Brigade

    Hawa wakuu vipi? Badala ya kujadili jinsi gani wajipange dhidi ya tishio la Kagame kwa raisi wetu, wanajadili mpango wa CHADEMA kuimarisha Red Brigade.Shame on them, shame on serikali dhaifu ya Magamba, shame on wafuasi wasiojitambua wa Chama Cha Mabwepande(CCM)
  6. Think Tank1

    Mguu unauma sana unakosa nguvu x-ray haijaona tatizo

    Kuumwa mguu ni dalili ya ugongwa na wala sio ugonjwa.Tatizo linaweza kutokana na magonjwa ya jumla ya mwili au gonjwa kwenye mguu peke yake.Na inapokuja kwenye mguu, tatizo linaweza kuwa kwenye mifupa au misuli na nerva(soft tisue).Xray haina uwezo wa kuonyesha tatizo nje ya mifupa.Hivyo basi...
  7. Think Tank1

    CHADEMA inapendwa vyuoni

    Ukiona msomi anashabikia CCM, kuna uwezekano wa vitu viwili, either Ubongo wake umeganda na hawezi kufikiri na kuchanganua mambo au yuko kuji-position kwa ajili ya maslahi yake zaidi, badala ya maslahi ya Taifa.Na ukiona msomi wa kizazi hiki anasimamia maslahi yake, badala ya Taifa ambalo...
  8. Think Tank1

    Mkt wa vijana CHADEMA:Hakuna mgombea wa CHADEMA aliyejitoa ni propoganda za CCM tutashinda kata zote

    Thanks kamanda for the detailed information. Sasa tutalala kwa amani.Hawa magamba wana siasa chafu sana.
  9. Think Tank1

    Naichukia CHADEMA!

    Badala ya kuichukia CHADEMA unatakiwa uichukie serikali ya MAGAMBA iliyokunyima elimu na uwezo wa kuchanganua issues mpaka unachukia chama chenye tumaini la ukombozi halisi wa Tanzania.
  10. Think Tank1

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    .....Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you...
  11. Think Tank1

    Obama-Rais wa Tanzania

    Member mpya nimeingia ukumbini, nimesononeshwa na mengi, lakini hili la TBCCM kuandika kwamba Obama ni rais wa Tanzania, linatia kichefuchefu.Shame on them.
Back
Top Bottom