Kwani CCM walisemaje zitto alifofukuzwa? Si walisema Chadema Hakuna Demokrasia ni kufukuzana tu, mara wamemfukuza zitto kwasababu hawataki kuhojiwa, oh ni madictor wanataka chama kiwe cha watu wa kaskazini tu. Mkasifia ccm kuwa wamekomaa wana demokrasia. Naomba kuuliza, hiyo demokrasia ndani ya...
Ningetamani hili lifanyike ili tujue kweli tunaye Raisi mkweli asiyeyumbishwa na uswahiba. Ila ninamashaka katika hili. Zimwi la kulindana bado limo CCM na serikali yake. Namwomba Mungu Haki itendeke kwa wote. Rais asipolismamia hili kwa haki atakuwa amepoteza credibility ya kuwa muwazi na mkweli.
Hujui unachosema. Tulia ujifunze ndiyo uchangie mada. Unajua aliko Ben? Unawalaumu viongazi kwa lipi unalolijua kuhusu kupotea kwa Ben? Usikurupuke kuongea mabo ambayo huwezi kuyasimamia. Tulia jifunze hekima. Uliza serikali yako, kwanini wale watu saba wamezikwa bila kufanyiwa uchunguzi...
Huwezi kukurupuka ukaanza kumjadili mtu ambaye hakuhusu, anaendelea kufanya kazi zake. Si mmefungua mahakama ya mafisadi? Mnasubiri nini, si mumpeleke mahakamani? Acheni unafiki. Toeni uhuru wa kisiasa muone hao mnaowaita nyumbu, wanywaviroba, watawafanya nini.
Umesema kweli, Hao majangili na majambazi ni wafadhili wa chama chenu ccm. Hongera kwa uwazi huu kwa mara ya kwanza. Mnalinda majambazi mnamtesa mbuge wa wananchi ati tu kwavile kasema ukweli.
Nasubiri nione kama mtampeleka Lowasa mahakamani. Mkigusa Lowasa kuhusu richimond mupeleke na aliyemtuma. Mnaongea mambo ambayo hamuyajui. Nangoja tu nione hiyo mahakama itampeleka nani huko. Kwani hata aliyeianzisha anatkiwa atangulie. Ukiandika kitu humu uwe umesoma ukaelimika halafu uombe...
Umepata jibu wewe? Inawezekana nyumbani huna Radio wala TV. si uulize kwa jirani nini kinaendelea duniani? Yaliyotokea jana Arusha hukuyaona? Kabla hujaandika kitu hapa hebu jaribu kujiridhisha ili usiaibike.
Unamaanisha nini kusema uchaguzi huu tunashindwa vibay sana? Una uhakika gani kuwa ccm watashinda? kura watatoa wapi? Nani atawapigia kura nyingi mpaka washinde vibaya sana? au unajua jinsi mnavyoiba kura na sasa unatujulisha kuwa mipngo yenu imeshakamilika ya kuiba kura?
Mrema alishinda...
Nimekuambia wewe hufahamu unachoongea. We ni mjinga tu na wala sio kamanda. Ni ccm, unatafuta huruma. Tunawajua kweli. At mama tanzania!!!! Utadhani unaijua hiyo tanzania unayoongelea. Ungeijua tanzani usingejiunga na wajinga wanaouliza maswali yasiyo na tija ambayo hata yakijibiwa hayaleti...
Acha upumbavu, at wewe ni mmoja wa makamanda, makamanda wa wapi? CCM? Acha ujinga na propaganda za ccmahapa. Unadhani ukijiita Kamanda huu upuuzi wako utakuwa na mashiko. Tunawajua ccm na propaganda zenu dhaifu. Watanzania tumekomaa. Makamanda tunajifahamu. Unadhani kuja hapa na fake ID...
Mpango wao nikuiba kura. Mmeona wanavyobadili viongozi wa tume ya uchaguzi? Nawaomba viongozi wa ukawa wawe makini na mbinu hizi chafu za ccm. Kiuhalali ccm haiwezi kushinda mwaka huu. Tupige kura, tufuatilie matokeo kutoka katika kila kituo, tulinde kura zetu na tudai zitangazwe kwa uhalali.
Wewe mtoa mada,
Acha uppuzi wako humu. Kuna sheria gani inayozuia chma kimoja kukichangia chama kingine? unapoitisha harambee unachagua wakukuchangia na wakutoakukuchangia?
Nani alikuambia kuwa Lowassa ndiye anayechangisha michango? Michano ile inachachngishwa na Chadema kwaajili ya kampeni...
Egnecious
Stupid allegation again. Hivi mlienda shule wapi? Nani alikuwamwalimu wenu? Hamjachoka tu kuandika propaganda za kipuuzi humu? Watanzania sio mazuzu kama manavyoaminishwa hapo lumumba. This is too cheap for us, look for another strategies. Lowasa tutampigia kura hata akitangaza...
Ni kweli Kuanzia Magufuli mpaka wagombea wote na wapigadebe wote waCCM hawamalizi mazungumzo bila kumtaja lowasa. Wanadhani wanamchafua lakini wanamjenga vilivyo. Ukawa kampeni zao hazina matusi wala ahadi za uwango. Tunashinda mapema kabisa pamoja na mbinu zao mbovu. Piga kura yako, chagua Ukawa.
Wazee wote wenye hekima, Wangapi? Ni wangapi kwa idadi wanaomkataa Lowasa? wangapi ambao wametoa maoni yao kuhusu hilo? Ni nani amewathibitisha kuwa wanahekima? Hekima kwa mujibu wa nani? Unamuita kingunge kuwa ni mmoja wa hao wenye hekima, mbona ccm wanasema kuwa hana hekima baada ya kumuunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.