Search results

  1. amakyasya

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Malizia habari mkuu. Tatizo nini? Ilikuwaje? Maeneo gani limetokea tukio hli? Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
  2. amakyasya

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Mtandaoni bado, wameelekeza tu kuangalia kwenye kata ubaoni.
  3. amakyasya

    Majina ya waliofaulu usaili wa Sensa 2022

    Temeke bado bilabila
  4. amakyasya

    Majina ya waliofaulu usaili wa Sensa 2022

    Ndo nini hicho umepost?
  5. amakyasya

    Majina ya waliofaulu usaili wa Sensa 2022

    Kigamboni mkeka upo hewani
  6. amakyasya

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Naona Kigamboni mkeka upo hewani. Dar imeanza kutema sasa
  7. amakyasya

    Majina ya waliofaulu usaili wa Sensa 2022

    Dar bado hata halmashauri moja
  8. amakyasya

    Nini kinachelewesha kutoka kwa majibu ya usaili wa Sensa ikiwemo Dar?

    Kumekucha mtandaoni bado mikeka haisomi
  9. amakyasya

    Nini kinachelewesha kutoka kwa majibu ya usaili wa Sensa ikiwemo Dar?

    Nimepita kwenye kata kadhaa za Dar bado hawajabandika Mkuu. Labda kama wanasubiri maagizo toka ngazi za juu
  10. amakyasya

    Nini kinachelewesha kutoka kwa majibu ya usaili wa Sensa ikiwemo Dar?

    Kwamba atakuwa aliomba nafasi ya Msimamizi ya Maudhui? [emoji3]
  11. amakyasya

    Nini kinachelewesha kutoka kwa majibu ya usaili wa Sensa ikiwemo Dar?

    Wakuu kama mnavyofahamu kuwa usaili wa kazi ya sensa ya watu na makazi mwaka huu 2022 umefanyika nchi nzima wiki iliyopita hadi ijumaa tar 22 July 2022. Kwa baadhi ya maeneo majibu yalikuwa yanabandikwa mara baada ya usaili kufanyika kwenye kata husika lakini maeneo mengi hadi sasa majibu bado...
  12. amakyasya

    Kamishna wa Sensa 2022 ataka Walemavu kutosahaulika

    Vuta subira yatatoka tu Mkuu
Back
Top Bottom