Jamani mimi nikiwa kama mtanzania nina uchungu sana na inchi yangu. Nikiangalia hizi campen naona kichefuchefu kabisa! Ccm....(chukua chako mapema) ni uozo mtupu. Kweli huu uongozi wa kupeana tutafika kweli?? Yaani wananchi wenzangu baada ya kwenda mbele nchi inarudishwa nyuma miaka 20?? Mwl...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.