Search results

  1. K

    Muuzaji wa duka la dawa anahitajika

    Anahitajika mtu wa kuuza duka la dawa, Lazima awe anaishi jirani na eneo duka lilipo, mbezi mwisho, mbezi msakuzi, makabe na Msumi 0762071827
  2. K

    Nahitaji viti na meza used vya office

    ahsante nitaenda kucheck
  3. K

    Nahitaji viti na meza used vya office

    Habari wana jamiiforum nahitaji used viti na meza vya ofisi mwenye navyo tafadhari ahsanteni 0657784751
  4. K

    Nahitaji simtank

    Naishi dar
  5. K

    Nahitaji simtank

    Naishi dar
  6. K

    Nahitaji simtank

    Habari wana jamiiforum nahitaji simtank Lita 5000 au 4000
  7. K

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Nipo dar ndungu yangu nimehangaika sana kinachonishangaza Tabia zake ni tofauti na watoto wenzake
  8. K

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Nilishampeleka wakashauri nimpeleke shule ya autism ila hakupewa dawa yoyote. Hivi autism wanaweza kuongea kweli?
  9. K

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Hapana bado Anajitenga kulala sio mbaya mwanzo alikuwa anasumbua sana usiku kucha kuhusu kula anachagua sana mboga bila nazi hali tena anapenda wali mbaya zaidi hatafuni anameza tu.ni mtundu pia anapenda kushika vitu mkononi na kuchezea vitabu
  10. K

    Unakaribia kukata tamaa? Soma hapa kwanza

    somo nzuri sana ubarikiwe
  11. K

    0719360819 mwenye hizo namba ni tapeli wa ajira

    hiyo namba ilishawahi kunipigia akataka hela ampe Hr anipe kazi.
  12. K

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Honey Faith na wangu hivo hivo miaka 3 na nusu haongei full hasira na kujitenga na wenzake.
Back
Top Bottom