Search results

  1. M

    Demokrasia na Maendeleo ndani ya CHADEMA

    Mimi sifikiri hivyo, Zito aliamua kutofautiana na muelekeo wa chama chake. Haikuwa sawa kuwafukuza akina J. Shonza na wenzake halafu ukamwacha Zito.Kwa wanaoiamini CHADEMA ilikuwa ni swali kubwa sana kumwacha ndani ya CHADEMA Zito. KILICHOFANYIKA MIMI NAONA NI SAWA. KUNA WAKATI KUNA HAJA YA...
  2. M

    Jamani huu si uchawi saidia

    Wakuu nawashukuru wote kwa kuwa tayari kusaidia kwa kutoa ushauri na mawazo kwa wingi kiasi hiki, asanteni. EIYER na KAHATAN kuna sehemu wamesema, ilikuwa ni haki ya yeyote kutoa mawazo yake kunisaidia, ni kweli kabisa, ni hivyo nimeheshimu kila wazo la mtu kwa kuwa ilikuwa na lengo la...
  3. M

    Jamani huu si uchawi saidia

    Daktari nilishamuona, mapema. Hatua yangu ya kwanza juu ya tofauti ya mwili wangu inapotokea ni hospitali, isipoeleweka inakuwa tatizo
  4. M

    Jamani huu si uchawi saidia

    Ukiangalia post yenyewe juu kabisa ukaunganisha na hapo niliposema kazi /////nyumba ninayoishi///////gharama za umeme utapata muunganiko mzuri. nahisi umesoma sehemu niliyokuwa najaribu kujibu maswali na mawazo niliyopewa.Si pole yako umeuliza ni sawa.
  5. M

    Jamani huu si uchawi saidia

    ndugu yangu naambiwa siwezi kuku-pm- naona wananijibu natakiwa kuwa nimetoa post /topic kuanzia tano.
  6. M

    Jamani huu si uchawi saidia

    Nework haiko vizuri huku kwetu, najibu kwa ujumla tafadhalini:nieajiiliwa na taasisi moja baada ya kufaulu usaili nna mahusiano mazuri na majirani,sijaamua kuwa na rafiki kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi ..hivyo.. sina kabisa.. ila naongea sana na watu wengi wanawake kwa wanaume. Nafasi...
  7. M

    Jamani huu si uchawi saidia

    Nifanyaje, Nyumba ninayokaa, hali imefikia napigwa na kutishwa usiku wa manane, nimefikia nashindwa kulala maana hali inanitisha. Mara ya kwanza nikilala nilikuwa napata usingizi wa kulazimishwa baada ya hapo nahisi kukualiwa na kitu kizito ajabu najipigapiga kujishtua na inakuwa ngumu...
Back
Top Bottom