Search results

  1. Umslopagas

    Hatimaye barua imefika Ikulu kwa Rais kuhusu balozi mteule Jen. Patrick Nyamvuba wa Rwanda nchini Tanzania

    Aisee huyu Mrundi ana matatizo sana. Sasa analeta uzi ambao kwa ulivyokaa unaohitaji vielelezo (proof) lakini anakauka kama sio yeye vile.
  2. Umslopagas

    Serikali ya Tanzania inapaswa kuilinda sana nch ya Burundi

    Duuu!! We Mrundi ni nusu Kichaa kabisa. Jamani, hivi Mirembe bado inafanyakazi vizuri? kwa kweli huyu Nesi inabidi awahishwe maaneka naona hari imejirudia tene upyaaaa.
  3. Umslopagas

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Hahahaaaa! Hivi hizo Rasilimali wewe binafsi unafaidika nazo kweli au ni porojo tu.
  4. Umslopagas

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Hiyo mbona ipo siku nyingi sana, Waafrika wote kutoka nchi 54 za Afrika kuingia Rwanda ni bureee, visa on entry pale pale Airport Kigali
  5. Umslopagas

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Kuna Kambi yoyote ya wakimbizi kutoka Rwanda ndani ya Tanzania? Ipi hiyo naomba utujuze mkuu, ina wakimbizi wangapi, I didint know.
  6. Umslopagas

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Aidha wewe ni mbumbumbu hujui unachokiongea, au unafanya makusudi kujifanya hujui. M23 inatokea kwenye kundi la wa Congo ambao wanaongea Kinyarwanda. Wanapatikana kwenye maeneo ya Kivu kaskazini na Kusini kwa zaidi ya miaka 400 sasa. Haya maeneo wanayoishi kabla ya mkutano wa Berlin ulioigawa...
  7. Umslopagas

    Rwanda Yafanikiwa Kuishawishi Jumuiya ya EAC Kuadhimisha na Kuitambua April 7 Kama Sikukuu Rasmi ya Maadhimisho ya Mauaji ya Halaiki Kwa Watutsi

    Unaifahamu hii Resolution A/RES/58/234 ya UN? So sio jamobo jipya imeshatokea tena kwenye Level za Juu.
  8. Umslopagas

    Rwanda Yafanikiwa Kuishawishi Jumuiya ya EAC Kuadhimisha na Kuitambua April 7 Kama Sikukuu Rasmi ya Maadhimisho ya Mauaji ya Halaiki Kwa Watutsi

    Hahahaaaa! I new you can't resist telling your untrue stories, Vipi bei ya Gold imesimamaje kwa sasa? Kuna mshikaji ana gram 4250. Yuka anatafuta highest bidder.
  9. Umslopagas

    Mauaji ya Kimbari hayaepukiki kujirudia, Kwa ukabila huu wa kundi dogo kuitawala Rwanda huku wakilitenga kundi kubwa si ajabu yakajirudia ya 1994

    Sio kweli hata kidogo, hii doc. imetengenezwa ku suit agenda ambayo hata mleta maada anaihamasisha kwenye post zake nyingi. Zaidi ya 65% ya hizi picha wameandika Tutsi but it is not and am very sure of what am saying. Kwa yale majina ya maaskari sifahamu chochote lakini kwa hizi picha zingine...
  10. Umslopagas

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Kwa Ufupi Majeshi ya SADC kwa kushirikiana na majeshi ya DRC ni kwamba wanashirikiana moja kwa moja na FDLR, hawa FDLR ndio hao waliofanya Genocide Rwanda ndio hao waliowafukuza Raia wa Congo waliojazana kwenya makambi ya wakimbizi ndani ya Uganda, Rwanda, Kenya na sehemu nyingine Duniani ambao...
  11. Umslopagas

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Kibarango kweli kibarango kama jina lako, Kwanza story zako siku zote ni za uchonganishi hususa ni kwenye Suala lolote linalohusu Rwanda na Kagame, I am sure una sababu zako binafsi na wala sio huruma uliyo nayo kwa Raia wa Congo. Kwa taarifa yako hata hao M23 ni Raia wa Congo lakini najua wewe...
  12. Umslopagas

    Paul Kagame: Felix Tshisekedi ni mgombanishi nambari moja eneo hili la Afrika

    Umesikiliza vizuri! au umekurupuka tu, Ukizingatia majeshi yaliyopo Congo sasa hivi na yaliyokwisha ondoka ni dhahili kama watu wasingetumia busara pale uchonganishi ulikuwa dhahiri.
  13. Umslopagas

    DRC: Rwanda imeingiza mizinga ya kushambulia ndege

    It is completely impossible, Sana sana watakuwa wanatafuta way out ki diplomasia
  14. Umslopagas

    DRC: Rwanda imeingiza mizinga ya kushambulia ndege

    Ngoja ni pin kabisa, Naomba uwe karibu wakati huo for information sharing, usije ukapotea. Kwa kifupi tu hivi sasa FARDC/SADC wameishiwa maneno kabisaa, yale majigambo waliyoingia nayo SADC unayasikia tena? Hivi sasa zinaendelea jitihada za kidiplomasia kwa ajiri ya kuficha aibu. M23 wakiweka...
  15. Umslopagas

    M23 wateka mji wa Shasha, na kuanza kuzingira Goma, busara itumike

    Kama ukisema tatizo la Congo ni Rwanda utakuwa hauwafanyii haki wa Congo maelfu kwa maelfu walio ukimbizini Dunia nzima kutokana na kufukuzwa kwenye ardhi yao na magenga ya Interahamwe FDLR yakisaidiwa na FARDC yenyewe. +100000 wapo Rwanda, +400000wapo Uganda, +20000wapo Kenya, +50000duniani...
  16. Umslopagas

    M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    SADC walishaingia kitamboo, au umesahau ile speech ya Kamanda Ayub? Sema tu ni kwamba wamekuta hari sio ya kawaida, na hata pale walipojaribu kuingiza ile mizinga mizito hari iri badilika ghafra, kwa taarifa yako Mbu ametua kwenye korodani, inabidi diplomasia ndio ifanye kazi kwani hari sio...
  17. Umslopagas

    M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    Nani sasa wakufanya hiyo kazi? Hakuna mtu yeyote anayeweza kumlazimisha Rwanda hayo unayoyafikiria. Iwe Kijeshi iwe ki diplomasia. Lakini kama DRC ikiweza kuwarudisha FDLR wote kutoka Congo au iwanyang'anye uwezo wa kuendesha ugaidi dhidi ya Rwanda. Hapo itakuwa imefanikiwa.
  18. Umslopagas

    Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

    Lakini hebu jiulize, SADC wako wapi? Mbona kimyaaa? Fuatilia kwa makini mambo sio mazuri. Sasa hivi ni Diplomasia inafanya kazi kwani mbu katua kwenye korodani.
  19. Umslopagas

    M23 watwaa mji wa Nyanzale kule DRC

    Aisee hawa M23 wa sasa hivi ni Noma sana, wamekaa 10yrs wakijiandaa baada ya withdraw waliyoifanya mwaka 2013, ambayo watu wasiojua wanadai eti ilipigwa vibaya sana na walitegemea kuwa yale ya 2013 yatajirudia tena. Wakati Afande Ayub alipofika Goma alidai amekuja kumpiga M23 haraka sana, eti...
Back
Top Bottom