Search results

  1. babycandy

    Mke kazaa 1st Born na Bwana Mwingine: Utafanyaje?

    Pole zake kaka huyo..namshauri kupima DNA, ili kuprove kama mtoto ni wake au si wake, isije ikawa anahisi tu kwa sababu may be anamfahamu huyo exb wa mkewe..then baada ya hapo uamuzi anao mwenyewe..moyo wake ndo utaamua maana kama love itaisha maisha machungu hapo...Mungu amtangulie ampe...
  2. babycandy

    Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Kwa mtazamo wangu suala la kudumu katika ndoa ni la wanandoa wote wawili..si suala la usomi wa mwanamke au mwanaume hapo....mwanamke anaweza kuwa msomi mzuri na ni mchakarikaji katika utafutaji maisha mazuri kwa familia yake..anaisaidia familia kwa hali mali..akaja katishwa tamaa na mume ambaye...
  3. babycandy

    I seems to be boring

    Hi Mrs Mtaba.. Huyo mumeo yupo hivyo tangu mkiwa wachumba, mkaoana au ni tabia mpya ameianzisha? kama yuko hivyo basi ni tabia yake na tabia haina dawa try to understand him..lkn kama ni tabia mpya...kuna kitu hapo...
  4. babycandy

    Ugoni mbaya!

    Duh inatisha..
  5. babycandy

    Kutii na kupenda ni kipi kigumu

    Mi kwa mtazamo wangu wote wawili kwanza mpendane wote, upendo uwe pande zote kwani utaishije na mtu usiyempenda,mwanamke ampende mwanaume pia kwa kwa mwanaume vise versa, halafu kuheshimiana ni kwa wote, kuvumiliana, kuaminiana ni kwa wote pia. kila kitu kiwe balance hapo ndoa itakuwa salama.
Back
Top Bottom