Search results

  1. S

    Msaada wa dharura, mtoto wa kiume kutosimamisha uume

    We hovyo kabisa. Udhaifu wako wa kukosa utulivu na kujiamini .. unausambaza kwa mtoto.
  2. S

    Mkemia mkuu Tanzania: DNA yabaini 49% watoto sio wa baba halali

    KOSA la kawaida kabisa ni kuzitafsiri hizo data na kusema 49% ya ndoa kwenye jamii zinakabiliwa na hilo tatizo. Lakini hakuna ubishi kwa hiyo % kuwakilisha HAO TU waliofika kupimwa LAKINI hawawakilishi jamii nzima.
  3. S

    Agizo la wafanyakazi wa Serikali kutosafiri laimarisha thamani ya shilingi dhidi ya dola

    Udikteta ni chombo tu kama kisu au Bunduki .. Kinacho matter ni MTUMIAJI.
  4. S

    Uchokozi: Kutumbua majibu na hapa kazi tu ndiyo Falsafa ya Rais Magufuli na CCM?

    Hebu nikumbushe falsafa ya awamu ya 4..!
  5. S

    TBC 1 warusha harusi LIVE. Waziri Nape acharuka, awataka watoe maelezo ya kina

    Si kila kipindi kitarushwa tu simply mtu anauwezo wa kukilipia.
  6. S

    Adui wa mwanadamu duniani

    Fafanua .. !
  7. S

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa TAKUKURU, Dkt. Hosea kutema cheche

    You really think will come out and shout ? .. I don't believe he's that Low!
  8. S

    Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    He deserve IT. Hongera Morani kwa uvumilivu uliotukuka!!
  9. S

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa TAKUKURU, Dkt. Hosea kutema cheche

    Hosea can't be this low!
  10. S

    Mambo 5 ya kustaajabisha kuhusu Nanjilinji

    Nalinjili .. ! Inaweza ikawa neno lenye maana yeyote.? Ina maana gani.?
  11. S

    Adui wa mwanadamu duniani

    mleta mada wewe mwenyewe umesema "UASI" ndio Unaleta Kifo. Kwa muktadha huo basi Adui #1 kwa mwanadamu ni "UASI". Wala sio Kifo.
  12. S

    Orodha ya wanaoiibia TANESCO umeme, Wema Sepetu yumo

    Kuwa na hoja zilizosimama wema ni nani hadi yeye tu awe ni kivutio. Tunataka sheria iwapitie wote bila ... !
  13. S

    Washauri wa rais, mfikishieni Rais ujumbe huu

    We mleta hoja kichwa chako kimejaa maji ya madafu. Kitakacho kuokoa toka kwenye utangulizi niliotoa kwa moyo safi ni labda iwe tu kuwa wewe huelewi bandiko lako; vinginevyo .. Akili zako zemeshambuliwa. JPM hauhitaji huo ujumbe hapo: haumuhusu kwa namna yeyote ile. Nimalizie kwa kusema kwamba...
  14. S

    Adui wa mwanadamu duniani

    kulingana na hoja yako we mtu wa chuma .. adui unayemtaja sio kifo umejichanganya ... kwenye maelezo yako ..
  15. S

    Hao viongozi wa TAKUKURU, ile ilikuwa dharau kwa mamlaka ya Rais

    Unaongea nini wewe, kwa hiyo hao wakina Sefue hawakufanya consideration ya hoja zote zenye mwelekeo kama wako ili kumnusuru huyo Bwana? Kila kitu cha aina hiyo kilizingatiwa and so the decision remains solid and valid! Kuleee!:hand: Wapishe Upya wa system!
  16. S

    Hao viongozi wa TAKUKURU, ile ilikuwa dharau kwa mamlaka ya Rais

    Hakuna namna sahihi ya kumshughulikia mtoto aliyedekezwa ... ! Ni Kishindo cha Maamuzi magumu kwa upendo wa dhati. Kumuamsha yeye na wezio wanaoendelea kudeka deka ..! Hapakuwa na namna nyingine ya kumshughulikia Hosea na kwanamna hii kutuma ujumbe kwa WAZEE wengine na hasa waliowaweka kwenye...
  17. S

    Everyone you meet is fighting a battle you know nothing about

    Nice Story, Thanks Very Much For Your Time! This story reminds me of my personal important realization! That is; I am spoiled ..! But much worse, I am much better off, because every human being i come across is Spoiled too! In this case then; I am very courteous of how I relate my spoiled...
  18. S

    Tanzania Miaka Hamsini Ijayo: Fursa kwa Magufuli

    Nategemea watanzania wataipambanua hii ...
  19. S

    Tanzania Miaka Hamsini Ijayo: Fursa kwa Magufuli

    #HapaKaziTu. Ni falsafa Pana Sana. Inahitaji kufafanuliwa kwa kina na mapana kisha kutengenezewa manifesto ya utekelezaji.
Back
Top Bottom