Search results

  1. kabuya

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kimbiji, Kigamboni

    Km ngapi kutoka ferry?
  2. kabuya

    INAUZWA Pump ya kumwagilia inauzwa

    Mpya 320,000
  3. kabuya

    Makaburi ya Kisutu yamebeba kumbukumbu kubwa ya wapigania uhuru wa Tanganyika

    Tuletee history ya HAMZA MWAPACHU nae naskia alipigania uhuru wa Tanganyika na alikuwa msomi mzuri kipindi hicho
  4. kabuya

    Kumbukumbu yangu fupi ya Mohammed Seif Khatib

    napenda sana makala zako jinsi ya uwasilishaji wako
  5. kabuya

    Wadogo zangu, kabla TV hazijaja enzi hizo mgeni alikuwa anapewa album atazame picha za zamani. Yaani umpe Mtanzania album asichomoe picha hata moja?

    Enzi hizo hamna cd wala USB flash watu walikua mwendo LP au santoro kwa jina jingine na tapes,mtu unamwaazima tape unaringishia na Walkman
  6. kabuya

    Dar miaka ya nyuma ilikuwa tamu sana

    Watoto walikuwepo wengi tu warembo tena gate kali maana hayo Madison yote niliyoyataja yalikua yanapiga Sunday boggie kuanzia saa 4 asubuh hadi saa 2 usiku
  7. kabuya

    Dar miaka ya nyuma ilikuwa tamu sana

    Kila nabii na zama zake sisi kwa kweli ndio tulikula raha dar enzi za RSVP disco ,YMCA,msasani beach,Rungwe Oceanic,Silversands, Magott enzo hizo ukimwi nadra!
  8. kabuya

    Serikali ichunguze makampuni ya gas

    Watu elimu ya gesi hawana ndio maana kila siku wanalalamika,unaponunua gesi hakikisha unapima tena kwenye mzani wa digital.Kwanini mzani wa digital ?kwasababu hauibiwi hata point 1,ununuaji wa gesi upo wa mtungi mdogo 6kg, mtungi wa kati 15kg na mkubwa 38kg.Kwahiyo unaponunua mtungi mdogo...
  9. kabuya

    Hifadhi ya Selous ina utajiri wa madini unaoweza kuwaondoa Watanzania kwenye ufukara na umaskini

    Kaka huo ni ubeshi au utapeli watu wamepigwa sana pesa hasa maeneo ya Tanga na huo utapeli wa hazina ya mjerumani, W
  10. kabuya

    Dharau za Tundu Lissu kwa sisi Watanzania

    Kwahiyo ww unashauri nn kifanyike?
  11. kabuya

    Hivi ni sahihi kwa hakimu wa wilaya kutumia gari la mahakama kwenda kuwindia?

    Sasa hv Lipo garage Na gharama zake ndio kama nilivyoeleza hapo juu
  12. kabuya

    Hivi ni sahihi kwa hakimu wa wilaya kutumia gari la mahakama kwenda kuwindia?

    Picha zinakuja za kutosha za gar likiwa porin kwenye kuwinda. Gar lililo pata ajali limekaa sana polis
  13. kabuya

    Hivi ni sahihi kwa hakimu wa wilaya kutumia gari la mahakama kwenda kuwindia?

    Awali ya yote nipende kumpongeza mheshimiwa raisi Magufuli makamu wake Na waziri Mkuu mh Majaliwa kwa jitihada zao za dhati kwenye sakata la makontena ya mchanga.Kwa wazir mwenye dhamana Wa wizara ya sheria kuna hakimu hapa wilayani korogwe Jina lake Mkwawa ambaye ni hakimu Wa wilaya ya...
  14. kabuya

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Nahitaji kiwanja Kigambon maeneo ya kibugumo kusiwe mbali na barabara
  15. kabuya

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    nahitaji no yk mbona haipatikani?
  16. kabuya

    Kiwanja 40*40 kinauzwa

    bei kiongozi tujue nahitaj
Back
Top Bottom