Search results

  1. S

    Picha Zisizo Za Kawaida No. 10: Moja Kati Ya Wanawake Milion 1 Wenye Mapenzi Ya Kweli

    Duh, jamaa alipigwa bomu? inawezekana amemuonea huruma tu jamaa kwa wakati huu ,akishamzoea.....ninashaka kama ndoa itadumu,anyway inategemea alimpendea nini..huwezi kujua....
  2. S

    Happyness Magesse anaulizwa Kiswahili anajibu Kiingereza

    Teh teh teh,wadau mmeniacha hoi kwa kicheko! hii ndo Bongo. Mtajuaje kama yeye ni "matawi" na kiswahili kimempotea kwa ajili ya kukaa muda mrefu sauzi? Siyo mara moja nimesikia wadau wakiongelea hili huku uswazi.
Back
Top Bottom