yaani unataka clear plan ya kutatua tatizo la foleni dar ndio utoe "kula" yako just simply because ULICHELEWA KWENYE BIRTHDAY PARTY.
Ina maana ungewahi ktk hiyo party je?
Hizi ndio vision za viongozi wetu wa nec ccm!!
Sumu nini kimekuchosha? mimi kuitwa hilo jina au? mbona mwenyewe amekaa kimya...halafu hujajua source ya hilo jina..... muulize Heaven on Earth atakuambia.
Hakuna ugomvi
ninachoona hapa wengi hawanunui pete ila wananunua madini....ila naamini kwa elfu 20 unapata pete nzuri tu....
unless unasema unataka kumtafutia pete ya madini fulani.
Samahani Kijana wa Malecela,
Wewe ndio msemaji wa Meya? inaonekana wajua mengi hadi bajeti yake!
Kama ni hivyo, nini kazi ya meya kama kila kitu kiko ktk wizara?
Hivi angekuwa ni mmoja wa viongozi wa chadema anaongelewa kuhusu ubakaji, ni kweli ungepoteza muda wako kufanya haya uliyofanya?
Muda wa kuita " chepeo kijiko kikubwa uliisha "
Poleni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.