Search results

  1. A

    Huyu apa rais ajaye 2015

    Ni lowasa 2015 hali iliyotokea jijini mwanza kwa wamachinga kuimba rais rais kila lowasa alpokuwa akiwahutubia inaonyesha pcha kuwa kwa sasa chaguo sahihi la watanzania ni lowasa ndan na nje ya ccm ukeli unauma watakaopnga watapnga kwan kuna waliozoea kupata kiarus wakskia lowasa kama...
  2. A

    Ushujaa wa lowasa huu apa

    Baada ya vuta ni kuvute za siasa za minyukano ndani ya ccm hatmaye lowasa ameibuka shujaa...njia alizoptia lowasa kufkia kukubalika hii leo. 1.lowasa alikuwa achukue fomu ya kugombea urais 2005 jk akamuomba lowasa astshe kuchukua fomu ya kugombea urais waungane wakpata jk atakuwa rais 5yrs 2005...
  3. A

    Lowassa; Obama usiongelee ndoa za jinsia moja Tanzania ni kinyume na maadili ya watanzania

    LOWASSA: ASIGUSIE USHOGA, NDOA ZA JINSIA MOJA Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo yaNje na Ushirikiano wa Kimataifa, Edward Lowassa, amemtahadhalisha kujiepusha na kauli za kuunga mkono ushoga. Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, ameliambia NIPASHE Jumapili ofisini kwake jijini hapa jana kuwa...
  4. A

    Kunani makamanda fake wa ufsadi

    Huzuni kuu imetanda katika kundi la makamanda wa feki wa ufsad wakiongozwa na samweli sta,membe,mwakyembe,mama kilango malechela,lembeli,membe,sendek a(ajitoa) ambao walidanganya umma na kuwaaminisha watanzania kuwa dowans/symbion ni kampuni fake yenye mitambo fake wakat ndio inayoongoza kwa...
  5. A

    Rev. Mtikila ashida kesi ya kuruhusu mgombea binafsi Mahakama ya Afrika

    Arusha. Mwanasiasa mkongwe nchini Christopher Mtikila ameshinda kesi aliyofungua Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika (AfCHPR) mjini Arusha akidai Tanzania inakiuka demokrasia inapozuia wagombea binafsi. Katika hukumu iliyosomwa leo jioni, mahakama imesisitiza kuwa kwa kulazimisha viongozi...
  6. A

    Mh; lowasa atangaza ushindi makuyuni sku mbili kabla

    Mheshimiwa Edward lowasa na rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemalza kampen za udiwan katka kata ya makuyuni katka ngome yake kuu ya jimbo la makuyuni na ameanza ziara mjini moshi leo kwa kazi zake za kiofsi na kuacha vijana wakimalizia/wakfunga kampeni hii inaonyesha nguvu...
  7. A

    Lowasa: Serikali iwawezeshe wanawake kiuchumi

    Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, amesema kuna haja kwa taifa kuwawezesha wanawake kiuchumi kwa kuzingatia mchango wao mkubwa katika maendeleo na ustawi wa familia. Lowassa aliyasema hayo juzi alipokuwa akizindua Jumuiya ya Akiba, Mikopo na Maendeleo ya Dodoma (Jamimado) katika Viwanja...
  8. A

    Lowasa; Serikali iwawezeshe wanawake kiuchumi

    Lowassa: Serikali iwawezeshe wanawake kiuchumi Dodoma. Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, amesema kuna haja kwa taifa kuwawezesha wanawake kiuchumi kwa kuzingatia mchango wao mkubwa katika maendeleo na ustawi wa familia. Lowassa aliyasema hayo juzi alipokuwa akizindua Jumuiya ya Akiba...
  9. A

    Rostam aandika Historia kwa kujiuzulu nafasi zote ndani ya CCM

    Na Mwandishi Maalum - Imechapwa 20 July 2011 HATIMAYE Rostam Adulrasul Aziz ameandika historia. Ni kwa kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya chama chake – Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hii ni baada ya miezi mitatu ya malumbano kati yake na baadhi ya wajumbe wapya wa sekretarieti ya CCM. Kwa...
  10. A

    Rasimu ya katiba mpya; ijue ibara inayowabana wabunge vizuri

    SOURCE; MWANANCHI Ibara ya 122 ya rasimu hiyo inazungumzia vitu vinavyoweza kuwafanya wananchi kmng’oa mbunge. Inasema wananchi watakuwa na haki ya kumwondoa mbunge wao madarakani kama atafanya mambo mbalimbali ikiwamo kushindwa kuwasilisha au kutetea kwa dhati hoja zinazotokana na kero ya...
Back
Top Bottom