Hivi kumbe ufundi unahitaji watu waliofeli? nilidhani ufundi unahitaji watu wenye uelewa mzuri wa masomo ya sayansi na hesabu, hii dhana ya kuwa kila anayefeli apelekwe kwenye ufundi ndiyo inachangia sekta hii kutokua au kuwa na mafundi vihiyo katika nchi hii. Ufundi ni taaluma inayohitaji watu...
Nilikuwepo eneo la tukio siku hiyo, nashangaa polisi kumpeleka mahakani kwa traffic offense, nadhani hata uelewa wao nao ni mdogo, mimi si mwana sheria lakini mtazamo wangu ni kuwa alitumia gari kwa makusudi kumwua yule polisi, hakuwa kwenye msafara, wenzake walioingilia msafara walisimamishwa...
Mama Terezya hongera kwa kujali mazingira na afya ya viumbe waliopo tanzania, hayo wafanyao hao wawekezaji huko kwao hawathubutu hata kidogo kufanyaa, endelea hivyo hivyo na tutakupa majina ya wengine ili uwafungie. Mzee kagasheki kwenye hili umechemka waombe radhi watanzania, ni heri tuwakose...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.