Search results

  1. L

    Tunasimama wapi kati ya Korea Kaskazini na Korea Kusini?

    jamani inabidi tuwe makini sana. mara nyingi tunachukua msimamo fulani kwa sababu tu hatuelewi mambo vizuri. maisha wanayoishi watu wa North Korean sio maisha y abinadamu wa kawaida. ni magumu na mabaya sana. hakuna nchi ya kiafrika ambayo watu wake wameishi maisha kama yale tangu uhuru. njaa...
  2. L

    Tanzania should send a 50 strong team to Haiti

    wazo zuri sana hata mimi naafiki
  3. L

    What Kenya can teach Tanzania and vice versa

    i have been to kenye, and i have studied with kenyens i hve never seen uggly women before. Kenyan women must be the world's ugliest women. So kenyans marrying tanzanian women is due to lack of choice back home. I mean how can you spend the rest of your life with such an uggly creature. Photos to...
  4. L

    CCM haina Makubaliano na Wananchi!

    Hivi leo mkichagua chadema au cuf kuongoza tz bara hiyo itakuwa serikali au vichekechesho, hata kama ccm hatuitaki lazima kwanza kitokee chama kijijenge kiwe na ukubwa (grassroots support, popular support, na uwingi wa vigogo) kama wa ccm. Hapo tutapata alternative. Mlioko nje mnajua kuwa labour...
  5. L

    Bonjour

    GM sept, Oui c'est la maison de grands penseurs, mais parfois on peut crois que des grands penseurs an jamii sont alles en conge. Certainnment ils reviendront l'anee prochaine, l'anee des elections. Encore une fois! Bon arrive
  6. L

    Ujumbe toka ulaya kwenda kwa wa tz

    Jamani ni lazima tuelewe propaganda zilizopo against TZ. Tusiwe wepesi tu kiamini kila kitu mradi kasema mzungu. Resistance ya TZ kwa vitu kama EAC (ambayo imejaa maslahi ya wakubwa) inawafanya watuchukie. Hiyo barua ni ya kutunga, ni ukiisom kwa makini hata muandishi english siyo mother...
  7. L

    Kenyan Writer Disses Tanzania!

    "That argument flies in the face of all known precedents. Mexico knows the immense benefits it reaps from the North America Free Trade Association. (NAFTA) even though its economy can nowhere be compared with the United States' or Canada's. Likewise countries like Slovakia or Croatia would not...
  8. L

    WATCH: Oil explorations & projects in Tanzania

    Du kweli kichwa cha mwenda wazimu. Ila watanzana tuamke jamani tumebanwa kila kona na hakuna kwa kukimbilia
  9. L

    Ulimwengu aliponzwa na kujitapa Utustsi!!

    Tatizo (risk) la kutawaliwa na wageni Tanzania na hata Africa (tatizo la utawala kwa ujumla Africa) ni kuwa hakuna mechanisms zinazo hakikisha mtawala anafanya kila jambo kwa manufaa ya taifa (kama ilivyo US, Ulaya, Japan etc). Kwa hiyo mtu yeyote akipata madaraka awe mgeni au mzawa ataweza...
  10. L

    Kenya sends a 13-member delegation to make a 5 min speech

    kenyan media and HRAs expose the corruption all the same, but why is it that corruption in kenya keeps consilidatin itself, and bigger and bigger scandals to never cease. And the effects are clearly seen. B'se kenya is very soon going to be a completely failed state. It is going to join Somalia...
  11. L

    East african community

    jamani hebu tuchangamkieni hili dili, kwa taarifa nilizonazo watanzania ni wachache sana katika eac secretariat ukilinganisha na kenya and uganda japo makao makuu yapo hapahapa TZ
  12. L

    SAKINA DATOO apewa Uhariri Mkuu This Day na Kulikoni

    Mengi haeleweki, sera zake za utumishi ni very vague, na hata ulipaji wake ni wa kubabaisha sana, Sakina katumiwa halafu kawa dumped kama walivyo wengine....
  13. L

    Gari la kusambaza bia lapata ajali mnazi mmoja, dsm

    Ipo siku watakimbilia kuokota mabomu! Mweh.. Huu umaskini utatuua.
  14. L

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    Jamani mweh! kila kukicha afadhali ya jana!!!?..
  15. L

    Wanawake Hawapendi nini?

    Mmh, haya!!!!!
  16. L

    Rais obama azomewa.

    Exaud you are right. Some people do not know the importance of information. Being informed is as necessary as feeding, and there is no irrelevant information in this globalised world.
  17. L

    Waziri Kamala hastahili kujiita Dokta

    There is something missing in this thread. Ninachojua ni kwamba Kamala alipata Ph D yake kwenye kutoka Commonwealth Univeristy kama sikosei, chuo ambacho inasemekana hakitambuliwi na Tz Universty Commission. na hivyo PhD za chuo hicho pia hazitambuliwi. Si kwamba hana PhD kabis.
  18. L

    List of Rostam and Akram Aziz companies & Mohamed Enterprises

    Huyu mtu hana nia nzuri na nchi hii. Wanaomkumbatia ipo siku watajuta. Ameshajipenyeza kwenye systm kwa kiasi cha ajabu, na kwa kweli Tz yote kaishika miononi mwake kama tufe. Siku akiamua akaimwaga chini tumekwisha.
  19. L

    Nafuatilia Rushwa, Polisi na Mahakamani

    Hizo kesi mbili zimekufa kimya kimya. Na ni kawaida sana. serikali inatumia mtindo wa kuuwa kesi kimya kimya kwa sbb inajua watz wana mtindo wa kusahau. Zakaria, yule mhindi (au sijui marabu) tajiri kuliko wote Tz aliwahi kukamatwa 2001 kwa kukwepa kodi, hadi leo kesi yake haijulikani imeishaje...
Back
Top Bottom