Search results

  1. Mnyandughu

    Gari ya Million 3 ipo?

    Naweza kununua wapi kigari ka bei hio kanaovumilia road zetu bara.
  2. Mnyandughu

    Lazaro nyalandu njoo timiza ahadi yako jimboni

    Kumbuka katika ahadi yako uliwahidi wananchi wako jimboni kuwa utawawekea barabara ya lami toka singida mjini hadi ilongero.miaka mitano yako inaisha hatuoni dalili mpaka sasa tena siku hio unaahidi na mkuu wa kaya alikuwepo akakuunga mkono.wanainchi wanahoji inaweza kukugharimu 2015.:loco:
  3. Mnyandughu

    Naombeni kitabu cha wageni

    Namtafuta ndugu yangu humu jf nasikia yupo hapa anaitwa M2 nina hamu ya kutukanwa jukwaa ya siasa.
Back
Top Bottom