Search results

  1. M

    TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Nami nimeona nina video nimerekodi kabisaaa du TBc CCM DU mtangazaji huyo afungiwe kabisaa
  2. M

    Nani kugombea urais 2015 Tanzania kupitia CCM?

    Mimi napendekeza livingstone lusinde agombee URAIS wa tanzania kupitia ccm!
  3. M

    Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa

    We Faurie mbona kama mjinga mjinga vile maana unashindwa kuelewa hata mambo madogo madogo! soma uelewe siyo kuleta UCCM wako hapa!!!!!!!!!!!!!
  4. M

    Jaji Warioba kwenye dk 45 ITV

    " Katiba hii isipopitishwa mimi naingia msituni" by kaptain John Komba
  5. M

    Wanafunzi IFM wamtaka Lowassa urais

    wajinga sana haoooooooo
  6. M

    Wassira amvaa Membe, ni baada ya Ofisi ya Membe kumdhalilisha

    Kama Rais Mugabe ameanguka watu wakarusha picha zake itakuwa kwa Wassira kupishana vifungo
  7. M

    Utapeli wa mtandaoni

    Jamani kuwa makini kuna matapeli wana mtandao na wazungu wanatapeli pesa wanatumia namba za Kenya na Tanzania. Nimenusurika kutapeliwa na matapeli hawa: walitumia hizo namba 0785 648 220 Hiyo hapo ni sehemu ya sms yake na baadae akanipigia simu kwamba yuko mpakani Namanga; Hi ? Thank you...
  8. M

    Wassira: Hakuna nchi duniani iliyowafanya wananchi wake wote kuwa matajiri

    Watu watafanya wapi kazi bila serikali kutengeneza ajira kwa raia wake? Wasira kweli amezeeka aende bunda hukooo
  9. M

    Siyo ajabu kwa Kinana kumwandikia barua Mwigulu Nchemba

    Huyo jamaa huwa wanamhusisha na pembe za ndovu (Uwindaji wa Tembo sijui ni kweli ama?)
  10. M

    Msaada Zilipo Ofisi Za Makampuni Ya Clearing And Forwarding Hapa DAR

    POSTA MTAA WA SAMORA, JMALL BUILDING KUNA MAKAMPUNI YA AINA HIYO ZAIDI YA 20 KATIKA JENGO HILO MOJA. kWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0756756122
  11. M

    Nioe m/mke wa nchi gani?

    Somalia
  12. M

    Mchumba wangu anapenda kuvaa nguo zangu

    WE MKUU HAYO TUNAITA MAHABA NIUUWE NIGALAGAZE NA NIPOTEZE KAMA NDEGE YA MALYSIA, MIMI NAVAA MPAKA SHANGA ZA GIRLFRIEND WANGU SEMBUSE NGUO! yAANI MTOTO KAPOENDA KWELIKWELI
  13. M

    Kuchangia hii kitu na mke/mpenzi ni sawa?

    Hilo ni jambo la kawida sana maana hata bible i9nasema kuwa mwanaume na mke wataungana kuwa mwili mmoja ama kitu kimoja. sasa kama mmekubali kuwa mwili mmoja itakuwaje msichangie mswaki??????????????????
  14. M

    Muyunga general supplies, slp 18137.dar es salaam

    TUNATAFUTA TENDA MBALIMBALI KATIKA MAKAMPUNI, NGO,MASHULE NA TAASISI MBALIMBALI NA KUSSUPLY VITU VYA AINA MBALIMBALI KAMA STATIONARY AND OFFICE EQUIPMENTS, T.SHIRT,ID PRINTING AND BUSINESS CARD, TOILET PAPERS, PAMPERS N.K. KARIBU WOTE TUFANYE KAZI Kwa maelezo zaidi wasiliana na Marketing and...
  15. M

    Muyunga general supplies, slp 18137.dar es salaam

    Tunatafuta tenda mbalimbali katika makampuni, ngo,mashule na taasisi mbalimbali na kussuply vitu vya aina mbalimbali kama stationary and office equipments, t.shirt,id printing and business card, toilet papers, pampers n.k. Karibu wote tufanye kazi
  16. M

    MUHIMU SANA: supplier anatafutwa

    Mimi naweza kusupply hiyo tenda nitafute 0756756122
  17. M

    MUHIMU SANA: supplier anatafutwa

    Nitafute kwa namba 0756756122 or 0682798686 mimi ni Marketing and Sales manager.Kampuni yetu ni MUYUNGA GENERAL SUPPLIES Tuko kariakoo.
  18. M

    Ajira yangu mpya

    Nimeanzisha Biashara ya kuuza udaga wa jumla hivyo kwa yeyote anayeweza kuwa na udaga anitafute kwa namba hizo hapo :0756756122 au 0682798686
  19. M

    Tanzania: Tatizo la ajira kwa vijana ni kubwa sana, lisifanyiwe masihara!

    Wasomi wenzangu mna mawazo gani juu ya ajira maana inavyoonekana mambo ni magumu kwelikweli!
  20. M

    Ajira tanzania police force, diploma na digrii

    Nawapongeza sana jamiiforums kwa kutupatia taarifa muhimu kama vile nafasi za kazi!
Back
Top Bottom