Search results

  1. pakamwam

    Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

    kumekuwa na maoni mbali mbali kuhusu video inayoonekana kama ni ya baba askofu. napenda kusema tusiwe wepesi kuamini kila kitu cha mitandao. yapo maswali Mengi sana ya kujiuliza 1. Gwajima ni mjinga kiasi Gani wakati ameoa afanye uzinzi alafu ajirekodi na aache hizo kumbukumbu kwenye simu au...
  2. pakamwam

    Kugesi,mtali au furungu ni mapambo tu na si vyema kuhusianisha na tabia ya mwanamke

    Nimeona kitatange wa jamii yetu wenye tabia za kuduku. Wao ni kuchi wa kupiga wanawake kwa mitazamo yao na kulastara wa tabia zao. sio lazima kuleibu awe sawa kitabia na mama yake na pia Sio lazima kila mwanamke mwenye kuvaa kugesi ana tabia za fila. Wapo waliofildhulika na ufikia kiwango cha...
  3. pakamwam

    Naombeni msaada wa mawazo jinsi ya kumsaidia ndugu yangu aliyejiingiza kwenye biashara ya rupia

    ndugu yangu haya mambo yapo sana. watu wanapigwa hata wasomi. unajiuliza unaksa majibu. tumeenda hadi kwa askofu msataafu wa kanisa la kipentekosti. nafikiiri kuna mambo mazuri watu wamesema ambayo nayaona yanaweza kusaidia. kumuweka ndani kwa kipindi fulani na kutafuta mtandao wake na kuusweka...
  4. pakamwam

    Naombeni msaada wa mawazo jinsi ya kumsaidia ndugu yangu aliyejiingiza kwenye biashara ya rupia

    naomba kwa ruhusa yako nikutafute inbox na tujadiliane namna ya kumsaidia mkuu. Mungu akubariki sana
  5. pakamwam

    Naombeni msaada wa mawazo jinsi ya kumsaidia ndugu yangu aliyejiingiza kwenye biashara ya rupia

    hii kwa kweli ni nzuri sana. nashukuru kwa ushauri . Mungu akubariki sana
  6. pakamwam

    Naombeni msaada wa mawazo jinsi ya kumsaidia ndugu yangu aliyejiingiza kwenye biashara ya rupia

    dah nilijua yametufika sisi peke yetu kumbe na wewe. pole sana ndugu yangu. yaani nawaza mapaka nachoka. inafikia wakati nakosa amani kabisa. yaani kachoka madeni na kuacha watoto .
  7. pakamwam

    Naombeni msaada wa mawazo jinsi ya kumsaidia ndugu yangu aliyejiingiza kwenye biashara ya rupia

    yaani mkuu, nilivyoleta hapa post tumetoka kuongea na mama. naye kasema kashindwa. baba naye kajitahidi anasema ameshindwa. ndio maana mpaka nimekuja kuomba ushauri hapa. tumewashirikisha hata viongozi wa kiroho lakini hawasikilizi
  8. pakamwam

    Naombeni msaada wa mawazo jinsi ya kumsaidia ndugu yangu aliyejiingiza kwenye biashara ya rupia

    habari za mchana . moja kwa moja kwenye maada. Nina ndugu yangu ambaye alikuwa naendelea vizuri sana kimaisha. alifanikiwa kujenga nyumba ya ghorofa moja na nyumba nzuri Mbeya, Arusha na Dar es salaam. Ni mtu mwenye mke msomi ambaye naye ni mfanya kazi pia Cha ajabu kaka yangu kaacha kazi...
  9. pakamwam

    Kuhusu kuishi na wapinzani, Namshauri Rais achukue mfumo wa Rais Kikwete

    na unga mkono hoja kabisa lakini viongozi wana nafasi pia hasa Rais
  10. pakamwam

    Kuhusu kuishi na wapinzani, Namshauri Rais achukue mfumo wa Rais Kikwete

    nianze kwa kusema mimi sina mrengo wa chama na ni mtanzania. Kura yangu itategemea ushawishi nitakaopata wakati huo na historia na uwezo binafsi wa wagombea pia nitangulize pongezi kwa Mh Amiri Mkuu Rais JPM. nampongeza kwenye miradi yote ya maendeleo, ukusanyaji kodi hata kwa sekta zisizo...
  11. pakamwam

    Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    yes wanaliwa na ni watamu sana. sema tu bei yake huwa iko juu kiasi ndio maana watu wengine wanaogopa kununua
  12. pakamwam

    wanyonge tulionyongeka tukutane hapa

    mh ngoja waje wakukute ukifanya hujuma
  13. pakamwam

    Je, ni sahihi gereji kufunguliwa sehemu za makazi na kufanya kazi usiku wa manane bila kudhibiti kelele

    kweli kabisa mkuu. yaani miji yetu inatuongezea msongo na magonjwa
  14. pakamwam

    upweke na kukosa shughuli baada ya kazi zako jioni ni moja ya tatizo linafanya porno or movie au series addiction

    hiki chama nakumbuka kilianzia shule fulani ruvuma kama sijakosea. ilikuwa ni miaka ya 2002 ili kupunguza tatizo la ukimwi na vishawishi kwa wanafunzi . sijui kama ndio hicho.
  15. pakamwam

    Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    nataka bata perkin na bukin kama unao boss wangu
  16. pakamwam

    Ufugaji wa Bata Mzinga, Bata Bukini na Kanga: Maoni, Ushauri, Utaalamu na Masoko

    kama unao unatuambia ili tuje kununua ingawa nafuga bata
  17. pakamwam

    Ngano kwenye bia ni hatari kuliko kilevi chenyewe hasa kwetu Waafrika

    dah mshukuru Mungu kwa bahati hiyo. yaani ni bahati sana
Back
Top Bottom