Search results

  1. M

    Dr. Slaa Kulipwa maslahi kama mbunge anastahili?

    sioni kama kuna kosa kwa mheshimiwa dk slaa kulipwa kiasi hicho cha pesa kama vikao halali vya chama chake viliidhinisha hivyo na hakuna ufisadi
  2. M

    NSSF na Infrastructure Investment: Kigamboni Bridge, IPP, Road Construction.. ???

    hapo ipp wana mradi gani wa uwekezaji, sijelelewa.
  3. M

    Tumechagua Makamu wa rais Mgonjwa

    tusigeuze mambo ya afya mjadala we are not producing any tangible
  4. M

    Elections 2010 Wafungwa walitumika kujenga jukwaa la jk, tarakea

    Navyofahamu mimi jeshi la magereza huwa wanakodisha mahema na kujenga kama biashara nadhani walilipwa kwa kazi hiyo.
  5. M

    Tusker beer ya SBL bomu

    kweli hata mm nimekuwa mtumiaji wa tusker muda mrefu lakini hii ya SBL ina harufu na pia ladha yake tofauti kabisa na ya zamani mm naona wangeipa jina lingine tujue ni bia mpyaa kabisa katika brand zao
  6. M

    Gharib Bilal ateuliwa mgombea mwenza wa Kikwete 2010

    mrithi wa dr shein angekuwa dr salim a salm hapo ingependeza sana kwani dr salim atatufaa kwenye diplomacy ili tena Tz irudi kwenye jukwaa la kimataifa
  7. M

    Vitambulisho vya Taifa: Maoni ya Mchungaji

    waacheni wafanye kazi hiyo pengine utakuwa mwanzo mzuri wa kuondokana ufisadi tz
  8. M

    Muungwana Safarini Tena!

    maandlizi ya kampeni hayo ushindi wa tsunami hauji kwa ziara za ndani pia za nje ni muhimu sana
  9. M

    Tido anahama TBC anakwenda kwa Lowassa

    hivi kwani mkataba wake na TBC umemalizika? kama umeisha si vibaya aende na huko akatumie ujuzi wake kwenye kampuni binafsi tuone matunda yake.Je hiyo tv ya mheshimiwa lowasa ilishazinduliwa rasmi lini? huku mikoani mbona hatuipati
  10. M

    Mradi wa Digital Broadcasting TBC

    samahani wadau hii digital switch by 2015 itabidi tubadilishe vitu gani kati ya receiver,dish na televion? naomba yeyote mwenye ufahamu anijulishe
  11. M

    Je unahitaji Digital camera,touch phone au laptop kutoka EU MARKET?

    asante kwa maelezo yako mimi nahitaji laptop aina ya TOSHIBA na unaweza kunipa specifications zake kupitia e-mail yangu stevenmasisa@yahoo.co.uk
  12. M

    Je unahitaji Digital camera,touch phone au laptop kutoka EU MARKET?

    Ukija Tz utafikia wapi? nikitaka kukuona nitakupataje? Na hizo items ni mpya au used/ refurbished? naomba maelezo kidogo niko interested,asante
  13. M

    jipu kwa kiingereza linaitwaje?

    jipu kwa kiingereza ni Abscess
  14. M

    No comment - Kingunge

    nadhani tusubiri katika hotuba ya mwisho wa mwezi ya mkulu kama atarespond!
  15. M

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    mafisadi wananguvu sana katika chama tawala kwa maana hata hao viongozi walisaidiwa kufikia hapo na mafisadi hivyo mtu yeyote anayepingana na hao siye mwana ccm mfano mzuri issue ya kagoda imefia wapi?
  16. M

    Orodha ya wabunge bubu bungeni yawekwa hadharani

    Mbunge makini hupimwa pia kwa mafanikio au maendeleo ya jimboni kwake (miradi ya kijamii ) licha ya mchango wake katika Taifa kwa ujumla
  17. M

    CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

    Watanzania wengi wanaoishi mijini ndio wanaofaha ghiliba za CCM hivyo walichokifanya watu wa Busanda ni ishara ya CCM kuchokwa
  18. M

    Jedwali la RA: Nani hayumo?

    mbona sijaona washirika wa Richmond?
Back
Top Bottom