Siku hizi mabibo hostel mnakaa na wake zenu? Kuna nyumba za wanafunzi mliio oa? maana kuna thread kuhusu BOOM kutoka kwa wanafunzi wa UDSM nimekuona KICHWANI ZERO ukijisifu kuwa juzi umekesha bar fulani na ukapoteza network na kuna baadhi umewajibu kuwa hawakuwezi kwa masom na mademu na kuwa GPA...
Kupe si kweli Ethiopian Airline mbona nimesafiri nayo juzi juzi tu wazungu walikuwa wengi tu ndani ya ndege. Tatizo uwanja wa ndege ni management mbona hata kwenye BA kuna watu wanakamatwa na unga?
Nafikiri CHADEMA kupitia mheshiwa mnyika wako sawa kwenye hili. Nape alikataa kutoa ushahidi akisema anakumbuka muda muafaka ufike ndo amwage data nakumbuka aliyasema haya wakati akihojiwa na Fina Mango. Nafikiri wakienda mahakamni ukweli ndo utajulikana,,,, so usiwatishe CHADEMA kutumia haki...
Ohooo mkuu nimei download na sikumbuki link ila video clip ninayo,,, nielekeze jinsi ya kubandika video clip kama ni possible nitupie sasa ivi. Samahani kwa usumbufu jamani nilijua imeupload
Fallacy! Tupe prove si kuleta data za ukoo wenu tu hapa! Kumbuka unaongelea dunia na tanzania kwa ujumla. Anyway mi rafiki yangu anavuta balaa tena sports na ana watoto watatu wote wa kiume anahangaika apate angalau wa kike sasa na shemeji naona kimeshaita,, yetu macho usikute ni kidume tena so...
Mkuu unatumia takwimu za wapi kaka? Si kweli kuwa Malawi wako fresh kiuchumi wamechoka sanaaaa hawawezi hata kunua silaha mpya hao kama chakula ni tabu itakuwa silaha? Huyu mama kaingia ndo kaanza kuukarabati uchumi kwa kuwarudisha wahisana ambao walijitoa baada ya mtangulizi marehemu Prof Bingu...
Huyu mtoto atakuwa amefoji sana vyeti vya kuzaliwa maana ninavyojua pale uhamiaji wakati anaomba passport lazima aliambatanisha cheti chake cha kuzaliwa nafikiri ndo maana jamaa wamekamata hizo document zake za kuombea passport ambazo zinaonyesha ana 18 years. Haya baba na mama kila mtu anasema...
huyo wa aina hii lazima atakuwa malaya sana,,,, kila juha lina kasoro zake dada watch out! U can find anayekunywa akawa better off kuliko asiyekunywa na ushahidi upo wanaume wengi wasiokunywa wengi ni watu mademu sanaaaaa! Bora uongelee sigara hiyo naku support na kwenye pombe hatuongelei ulevi...
R.I.P. Tatizo wamiliki wa mabasi nao wanapenda vitu cheap cheap wanafunga matairi mabovu yasiyo na viwango na madereva wao ni vichaa wanakimbia utafikiri wameambiwa mwisho wa dunia sasa na hizo kona kona za iyovu duh MUNGU atuepusha na mibalaa hii ya ajali na majeruhi MUNGU awasaidie wapone...
Huyo alikuwa sharobaro, hakuna cha mkwara wala nini huyo dada naye hajakutana na makamanda ambao hawatishiwi nyau! Anitafute aone midundo ya remix ya value, nyagi na redbull kudadadeki lazima ajute kutoa mzigo!:bange:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.