Search results

  1. Tarakilishi

    Duka la Jumla la Spea za Bajaji

    Wakuu salaam! Naomba kufahamishwa mahali ambapo naweza pata duka la jumla la spea za bajaji aina ya TVS King kwa hapa Dar es salaam. Natanguliza shukran zangu.
  2. Tarakilishi

    Tahadhali kuhusu uharamia uliofichwa kwenye biashara ya mtandao

    Multi Level Marketing and Islamic Shariah By: Syed Sadat Husaini Network marketing or Multi Level Marketing is a fast growing marketing strategy in India and the world over. Because of the attractive and easy earning profit packages it offers, it has become one of the greatest sources of...
  3. Tarakilishi

    Kwa wenye uzoefu na powertiller, msaada please

    Nimeamua kujikita kwenye ujasiriamali wa kilimo, hivi sasa nimeshalima mpunga kwa mara ya kwanza. Katika kujiandaa vzuri na kilimo nina lengo la kununua powertiller, Hivyo ninaomba msaada wa mawazo kwa wenye uzoefu na powertiller, ni aina ipi nzuri, horsepower ngapi, Bei zake zina-range kiasi...
  4. Tarakilishi

    Jiko la umeme

    Jamani naomba kuuliza aina nzuri ya jiko la umeme(two plates) ambalo ni imara. Nimetumia Singsung lakini limekufa haraka(miezi mitano tu). Natanguliza shukrani
  5. Tarakilishi

    Wachumi nisaidieni tafadhali

    Jamani mimi nipo ktk kuandaa Sisal Agribusiness Project. Project duration ni twelve years. Nimesha identify cost zote na benefis. Pia nishaandaa Projected Cashflow statement ya mradi huo. Kasheshe imekuja wakati nataka kufanya Project Appraisal, nimekumbuka kuwa ktk kutafuta NPV, BCR na IRR ni...
  6. Tarakilishi

    Hello

    Hodiii
Back
Top Bottom