Mbwana mkali ile mbaya wachezaji kama huyo dogo ni adimu sana nchini kwetu utasema yote ukweli utakuwa palepale na dogo atapata mafanikio makubwa kimpira na kimaisha tumwombee asimame kiushindani .
:smile-big:HAWOOOOOOOOOOOOO CHADEMA MMUMEFULIA KWA KOMOA WENZENU WALEEE WANAWACHIA VUMBI AMBALO HAMTA ONEKANA HADI MWAKA 2015 WEWE UNAYETUSHAWISHI TUMCHAGUE SLAA KWALIPI HATUWEZI KUWA NA MALAYA AU NDIO ZENU MUHALALISHE WAKE WA WENZENU KUWA WENU POLENI
Wana jf mimi nina rafiki yangu ambaye anarafiki yake ambaye anasoma mbali na eneo analoishi na walikubaliana kuoana lakini kikajitokeza suala kwamba kuna mdada mwingine akatumia jina huyo rafiki yake na kutoa matusi iliaharibu uhusiano wao, hebu tusaidieni kwa ushauri endapo mdada huyu...
Sawa kaka hasa ukisoma maneno ya Mungu utakuta kwamba hata hiyo kitu inaruhusiwa kwa wakati wake fanya kuna mwana jf mmoja ndo maana kasema wa ndoa hawaoni issu sana (NDOA NA IHESHIMIWE NA KILA MTU).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.