Search results

  1. Esmari

    Leo na kesho ubingwa utaota mabawa kwa Mancity na Arsenal

    Huyo anayepigwa ndio anaongoza sasa hivi.
  2. Esmari

    Waziri Jerry Silaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    Huwa unafuatilia bunge?
  3. Esmari

    Ninachowapendea Al Ahly wao hata wakiwa Wameshafuzu kutoa Kipigo Kitakatifu kuko pale pale tu

    Kuna watu wana vichwa vigumu kama jiwe. NB: Wakiwa wengi ni wekundu wa msimbazi, akiwa mmoja ataitwaje?
  4. Esmari

    Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Hizi ni juhudi za Rais pendwa wa Wadanganyika wa awamu ya tano. Halafu watu hawaoni hawasikii.
  5. Esmari

    Kwa haya anayoyafanya Makonda najaribu kufikiri nje ya box

    Hata yeye Makonda analijua hilo na ameshalisemea mara kwa mara. Na ameshasema nini kifanyike.
  6. Esmari

    Kikosi bora cha team ya Taifa, Afrika nzima haijawahi tokea hii combination

    Ni Algeria au Morocco ulimaanisha?
  7. Esmari

    Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

    Nafikiri anamaanisha kazi za kucheza na computer ofisini. Ila mstari wako wa mwisho ni mchungu japo una ukweli sana.
  8. Esmari

    Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

    Ulipaswa uweke hapa hivyo vipengele vingine vinavyoonesha bandari imeuzwa. Otherwise hizo ni story za vijiwe vya kahawa.
  9. Esmari

    Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

    Tatizo ni lugha tu. SEHEMU YA PILI WAJIBU WA JUMLA KIFUNGU2 LENGO LA MKATABA Madhumuni ya Mkataba huu ni kuweka mfumo unaofunga kisheria wa maeneo ya ushirikiano kwa ajili ya maendeleo, uboreshaji, usimamizi na uendeshaji wa bandari za bahari na ziwa, kanda maalum za kiuchumi, mbuga za...
  10. Esmari

    Kwenye Mkataba wa DP world Watanzania wanapotoshwa!

    Hivi hatuwezi kupata mikataba ya nchi nyingine ambazo DPW ana-operate Ili tuone utofauti upo wapi?
  11. Esmari

    Kwenye Mkataba wa DP world Watanzania wanapotoshwa!

    Ainisha utaapeli wao ili tujifunze sote.
  12. Esmari

    Halima Mdee kuchaguliwa Mwenyekiti LAAC ni pigo kwa CHADEMA

    Wewe na CHADEMA anayeumia ni nani hasa?
  13. Esmari

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Es = S - comes from initial name of mine Mari - last spellings kutoka kwa jina la ukoo All those make Esmari
Back
Top Bottom