Search results

  1. N

    Wananchi Monduli wamkataa mteule wa Lowassa, wadai waliichagua CHADEMA

    Huyo jamaa usihangaike na waeshachnganyikiwa safari hii kama wataiba kura itakuwa kwa tabubu sana abda wakimbe na masanduku ya kura kama mkongoro mahanga
  2. N

    Mbowe: Uchaguzi huu hatutaibiwa kura!

    Mheshimia hapo umenena afari hii nkma segerea na kingineko hibiwi mtu kura
  3. N

    Nilipompelekea IGP Mangu majina ya wauzaji wa madawa ya kulevya mezani kwake

    ha haha ha mjamaa anafwatilia nyayo za chui mwituni ombe hiyoko
  4. N

    Rais wa awamu ya 5 akitoka CCM nitahamia Somalia

    safari hii hakuna kuibiwa kura wasitegemee hilo kabisa waandae mabomu yakutosha
  5. N

    Mwigulu atema povu bungeni

    alfu kibaya zaidi anamzarau bosi wake ndo kutuambia ameshindwa kazi, hili jamaa sijui linajipaga mda wakufikiri kweli? aisee nchi tuna balaa hii
  6. N

    Kafulila: Kifo cha Mgimwa kichunguzwe

    yani kubishana na liabon nikupoteza mda amekunywa maji ya Lumumba anachojua nikubisha hana kingine ameahidiwa mambo makubwa nafikii
  7. N

    Prof. Tibaijuka Kikaangoni, CCM Waitana

    ndugu huyo bwana yeye hajawahi kuwa na la maana, hana logic yeye kazi aliyopewa ndo hiyo ku defend mpaka vioja kama ni anafamilia inahasara.
  8. N

    UKAWA watingisha Mkoani Kigoma - Kasulu

    kitaeleweka tu.
  9. N

    Mbowe: Alichowasilisha Wenje ni Msimamo wa Kambi ya Upinzani

    umelipwa shiingi ngapi mbona mko wawili tu hapa watu walumumba mnajibizana
  10. N

    Mungu amejibu maombi ya Mh Lema..!

    tunasubiri kwa hamu akina savimbi waumbuke.
  11. N

    Mnyika kupoteza jimbo 2015 ni baada ya kushindwa kutatua kelo alizo ahidi (AMUA)

    Njaa zingine bwana mtakija kupakatwa kwa uroho wenu
  12. N

    CCM hapa Mheshimiwa LUKUVI alikuwa ana maanisha nini?!

    Tusimlaum mtu bila kujua CV yake kwanza, je mlolongo wake ki elimu yukoje? usije kuta ni miongoni mwa wale wale pangu pakavu!
  13. N

    JK kura 6mil ni sampling hata kwa waliojiandikisha achilia mbali watz mil 47+

    hii inchi bwana tunabalaa rais anachaguliwa na watu 5milioni kati ya 45milioni alafu wanajishebedua kweli.
  14. N

    CV ya William Lukuvi

    Mbona watu wa aina yake wako wengi huko ssm, hii nchi bwana bila shaka tumelaaniwa kama hawa ndo tunawategemea kututengenezea katiba wanaolamba miguu ya wafalme ili wapate kuishi tuna safari ndefu sana
  15. N

    CHADEMA yazidi kusarambatika, baadhi ya ofisi zafungwa na zageuzwa maduka

    kwanini yafutwe kama mpangaji mpya ameomba maandishi ya baki? nyie watu mnatumika mpaka inakera angalieni msije mkapakatwa
  16. N

    Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    hawana tofauti na vibaka wanabaka demokrasia, hawa nao ni wakuvalishwa matairi tu
  17. N

    Huyo ndo naibu waziri wa fedha(Mchemba)

    hiyo skafu ina hirizi nini?
  18. N

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    nlitaka kushangaa usingecoment hapa ila watu kama nyinyi nimpango makusudu wa mungu kuwepo kwenye taifa hili maana ilisemwa mahali acheni magugu yaende pamoja na ngano hapo mwishoni nature itachukua mkondo wake.
  19. N

    Chadema wamebakiza jambo moja ili waingie ikulu

    act ni mnyama gani?
Back
Top Bottom