Mchungaji hongera kwa kutoa hofu na unafki na kuwa muwazi... watu siku hizi wamejawa hofu na woga kiasi cha kutofanya kazi sahihi na kufanya ili kulinda vibarua vyao visiote nyasi km wenzao.... Mungu atulindie Tanzania yetu na atupe hekima.... Amen
Kenyatta mashoto pia. Lakini walio wengi ni kulia bill Gates mwenyewe ni ryt handed..... mwajifariji tuu nq huo mtazamo was vichwa hapo juu ni wa Uwongo kabisaaaaaaaaaa[emoji46]
Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Hamna kitu km hiko koz akimpeleka Lowassa wengi watafuata hata huyo huyo alompoint out Makomeo atafungwa pia?? Acheni ndoto za alinacha
Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Poleni sana Ndgze name Familia yake. .... Mungu awajalie moyo wa subira name uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu na cha majonzi..... Pole sana Kaka Lissu. ... R.I.P Christina
kwenda weyeee mlipopiga kura xa maoni mlikaa kusubiri kutangaziwa alopita..... mlitumia kigezo gani???? hakuna atakayerudi home mpaka kieleweke nyie mafisiemu mrudi cye twalinda police hawatouwa wote hata ICC tutawapelekaaaaaaaaaa.... fisiemu rest in piece
shida ya kutokufikiri mbali..... unahitaji ushauri was jinsi ya kufananisha watu.... magufuli hamfikii nyerere hata 1/8 tuuuuuuu....... hata kikwete magufuli hajamfikia
hata huyu c alijaribu kujiendelezea muda slaa akamuwahi???? hebu acheni uccm wenu wa kutudanganya..... cc ni Lowassa tuuuuuuuuu awe mkenya , mtz, mkongo, mrwandiz, mbirundi au nani we don't care what we want is ccm out of the way...... mnang'ang'ania nini????????
hata Mimi ccm ikishinda atakayenijia anilalamikie ntamwambia fata ccm wakusaidie maana hawa wanaleta mackini wao kuja kutajirikia ikulu km jaamaa anayetoka loooooh ni ngashokaaaaaaaaaa.... ccm ni yao cyo kwa manufaa ya wananchii
...... kwa pamoja tuwatoeeeeeee........ kila cku tutafanya haya...
kwa kweli ccm wanatumia kila mbinu kurudi ikulu..... km ikulu Hanna lulu wanachosumbukia ninini??? c wanasema hao mbele kwa mbele?? basis watulie wajiamini.... miye ninkiwa wakala naenda na cm yangu na cha kwanza wakihesabu Tuu miye picha pwaaaaaaaa.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.