Search results

  1. C

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    ungeeleza ni Naibu waziri yupi huyo?
  2. C

    Ni wazi sasa: Mbowe na Zitto hawaivi

    Kweli wana ccm viongozi wanawakumaza katika uwezo wa kufikiri
  3. C

    Mukama akutana na Kardinali Pengo

    Hiyo ni kweli Mbu sugu
  4. C

    Tunamwomba Ridhiwani Kikwete atoe ushahidi kuthibitisha kweli hakuwepo nchini.......

    sasa wewe ndio mtetezi mkuu wa ccm humu au tukueleweje??so unataka tukupe shahada zetu ili uzifnyie nini??au ndio unataka na sisi mtuchakachue sio
  5. C

    Elections 2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

    Eti foleni ya jiji la dar ni maendeleo??? Wakuu sasa mimi simuelewi kabisa huyu jamaa na kigugumizi chake hicho
  6. C

    Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

    kiukweli mimi sijui elimu na wataaluma wetu vinatupeleka wapi Nadiriki kusema kwa sasa nchi ya tanzania kweli hatuwezi kuwa na kitu cha kitaaluma ambacho tunaweza kukitegemea Sasa hao ma Profesa na Ma dokta ambao tuliwategemea wafanye tafiti za ukweli zenye data za ukweli ili waishauri serikali...
  7. C

    Elections 2010 TBC1 ni wachafu!

    Lu-ma-ga uko sahihi kabisaaa
  8. C

    Elections 2010 Hivi ni kweli Makamba hajaona picha za Ikulu katika Mabango

    hakuelewa alijua tendwa anazungumzia kikwete yuko pembeni ya white house ndicho alichokuwa ana maanisha Mwl.Makamba
  9. C

    Bye bye DSTV!

    mkosoaji nayo hayo maneno ya uhakikaaa
  10. C

    Nini kilimsibu Haruna Moshi?

    nadhani huu ni ulimbukeni wa watanzania kukurupukia vitu bila kuvijua vizuri tusimlaumu sana
  11. C

    Najuta Kuifahamau M-PESA

    nadhani ukiwa umejisajili na mpesa unakwatwa hela ndogo sana.jaribu kuchat na watu wa vodacom uone imekaaje
  12. C

    Kuna nini KCMC?

    Nadhani ni muda sasa uongozi unaosimamia KCMC ikafanyia kazi hayo malalamiko Kama sikosei mpaka sasa kuna kesi kadhaa inayonguruma mahakama kuu kanda ya moshi dhidi ya huyu mutu anaitwa Prof.shayo Mpaka maprofesa wenzie waende mbele ya pilato kusaka haki basi ujue hapo kuna tatizo
  13. C

    JAYDEE Apanga kununua ndege (aeroplane)

    Wakuu mbona kama inakuwa ni kijiwe cha majungu tena Kwanza dada wa watu aliweka hiyo habari kwenye blog yake kwa manufaa yake na wapenzi wake imekuwaje imekuja hapa na majungu meeeeeengiiiiiiii.lol!!!!!!!! Pili kwani yeye kununua ndege au kuwa na malengo ya kununua ndege tatizo liko wapi???mbona...
  14. C

    Wana CCM Vyuo Vikuu Mbeya wamtetea Kikwete

    Nadhani hao watoto ndio jinsi gani wanatuonesha jinsi walivyo na ufinyu wa kufikiri mwisho wa siku tunakuja kukabidhi dhamana ya uongozi kwa wenda wazimu kama ho wajiitao wahasibu, wanasheria n.k Nadhani ndio mana wanasoma chuo kisicho kuwa accredited sio makosa yao hao
  15. C

    Kazi jamani Wizara ya Fedha na Uchumi

    Mkuu saggy, Ushukuriwe kwa post yako ktk jamvi hili
  16. C

    TBL na Serengeti Bia

    Wakuu kitu ya SERENGETI iko pahala pake Kitu muhimu TBL wanatakiwa kufanya ni kubadili department nzima ya R&D nadhani hawajui watendalo kwenye soko hili la ushindani
  17. C

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Kilichotokea jana ilikuwa niaibu tupu Ukweli ni kuwa makwaia anatakiwa kubadilika katika uendeshaji wa kipindi chake,na kama hana washauri inabidi atafute lasivyo kama anapewa ushauri hapokei basi anaelekea kubaya. Najua mzee wa upako umaarufu umeshashuka vya kutosha kabisa iliyopo tumsamehe bure
  18. C

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    wakuu mbona huo waraka unaongelewa lakini unapo omba kopi hamna anayeweza kutoa sasa watu wanachangia from which ground/source????
  19. C

    Tuusambaze waraka wa Kanisa kila sehemu

    wakuu mbona sijaupata huo waraka
Back
Top Bottom