Search results

  1. 2

    Mpaka walipo imbulia ndipo wakaibuka tumuibue na makamu wa Raisi naye tumsikie?

    Itabidi Raisi ukubali kua watanzania tumestukia mpango ovu uliotaka kutekelezeka achana nao tuachie bandari yetu, niwazi kua mkataba huo kila mtu anaona kua si mzuli hata wazili mkuu na mwanasheria mkuu waserikali walijitosa tu nakutetea kwasababu yalizuka maneno kua mbona hawaongei lolote...
  2. 2

    Jinsi Kenya inavyotoa vipato vinono kwa walimu na watumishi ukilinganisha na Tanzania

    Hii inch ni mbovu yani mpaka watu tuingie sikumoja barabarani Chama cha CCM wanafaidika kupitia wananchi ambao wengi wanaelimu duni(wajinga) hata secta binafisi wameiga, yani unamlipa mwalimu 370000, kwa mwezi mzima, halafu utegemee kwamba atafundisha vizuli? Matokeo yake elimu yetu inashuka...
  3. 2

    Yupo wapi Mwanasiasa wa CHADEMA, Silvester Kasulumbai

    Wakuu wana JF, Tujuzane kwa anaefahamu alipo sasa mwanasiasa machachali wa CHADEMA Silvester Kasulumbai.
  4. 2

    Kesi ya wananchi dhidi ya Serikali kuhusiana na suala ya bandari kuanza kusikilizwa Jumatatu 3th Julai 2023 Mahakama Kuu Mbeya

    Mawakili safi sana hapa palikua na rushwa kubwa hasa tenda inapopatikana bila kupitia talatibu za kitenda, yani kutangaza tenda.Na kujifanya eti tulikua tunauhitaji wa mwekezaji mwenye uwezo mkubwa na uzoefu ndo sanabu ya sisi kuwekewa mi shelia na kanuno za hovyo kwenye mkataba.
  5. 2

    KAMA UFANISI MBOVU NI SABABU YA UBINAFSISHAJI BASI NAOMBA BUNGE LA TZ TUWAPE DP WORLD

    Sahihi kabisa mi naomba muhimili wa mahakama tuubinafsishe ili atakaechukua tenda aje nambinu nzuli za utoaji haki kwenye jamii maana rushed imejaa sana jambo linalosababisha kutokupatikana kwa haki, ilapia mwekezaji atusaidie kuondoa kero yakutumia muda mlefu kwa kesi mpaka kutoa hukumu.
  6. 2

    Kwanini huu mkataba umesainiwa baada ya yeye kuondoka?

    Nchi imeuzwa Raisi kujitokeza nakusema kwamba nchi haijauzwa inaonyesha ni jinsigani ameuza inchi bila kujua.
  7. 2

    Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

    Nalionaga kama jingajinga, haya ndo majitu yanayotumia muchawi kushinda kula za maoni, he always talks meaningless things. Yani ujinga mtupu
  8. 2

    Tundu Lissu anapeleka moto wa hoja huko mikoani. Je, WanaCCM wanauweza moto?

    Sasahivi mambo ni magumu ccm nadhani kwa moto waliopelekewa ccm wanatamani litokee tukio fulani ili watu wahame kwenye agenda.
  9. 2

    Ukiisoma Katiba ya CHADEMA hutaamini kama ndio hao wanaotoa Elimu ya Katiba mpya nchini!

    Tofautisha kati ya katiba ya chama na ya nchi ndugu.
  10. 2

    Kama Mohamed Dewji tajiri mkubwa vile alitekwa, wewe ulikuwa na kinga gani kwa bwana yule?

    Na mo nimstaalabu tu maana hakusema kiasi cha mabilioni alichosaini kitoke kwenye account yake ndipo aliachiwa.
  11. 2

    Matajiri wa malori msinyanyase madereva wenu

    Tanzania ndio inchi pekee ambayo Madreva wananyanyasika kuliko inchi yoyote Africa Mashariki na kalibia inchi zote zilizopo kusini mwa jangwa la sahara hii inasababishwa kwakiasi kikubwa nakinachosemwa sababu kuu ni viongozi wakuu serikalini. Kua wanahisa wakuu wamacapouny ya magari sijafanya...
  12. 2

    Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

    Binafsi kama mkatoliki hua sipendi viongozi wa dini wanafiki kama kadnali Pengo ni hawahawa walihongwa pesa za Escro nakukaa kimya wakati wakisemwa wao huona furaha watu wakiwa wanavunjiwa heshima zao kujifanya wanyenyekevu lakini kiukweli ni wezi tu na watu wasiofaa
  13. 2

    Mbowe uling'ang'ania lockdown, umeona kilichotokea kwenye uchumi wa Kenya?

    Kwahiyo niafadhali uchumi wao usingeteteleka au niafadhali Raisi wao angekufa?
  14. 2

    Kama gari la Mkuu wa Mkoa ni hili, gari la Katibu Mkuu au Waziri lipoje?

    Yaani waTz tunabebeshwa mzigo wa mwizi na viongozi wetu.
  15. 2

    John Mnyika: Uchambuzi wa awali wa Ripoti ya CAG unaonesha tumepata hasara ya Trilioni 2

    Kutokufata taratibu kulikopelekea pesa kupotea. Au hujaelewa nini mbona ikon wazi
  16. 2

    Tundu Lisu: Hakuna hata sehemu Moja iliyoandikwa Ukitaka kumkosoa Rais au Serikali mkosoe kwa Staha!

    Ulimpa akashindwa kukushughulikia nini maana hadi yandani unayajua?
Back
Top Bottom