Search results

  1. Nungunungu

    Zitto Kabwe anatumia muda mwingi kuijenga CCM kuliko hata kukijenga chama chake

    Awali niliamini ACT kingeweza kuwa chama mbadala wa upinzani. Kumbe sivyo! Kuna somo ACT wazalendo hawalijui;wanatumia the False Positive and False Negative Approach badala ya kubaki neutral kama ilivyopaswa. Walifanya False Negative - Kukiona kitu kibaya ambacho sicho - wakati wa Kampeni za...
  2. Nungunungu

    Mega Thread: Safari za Rais Magufuli nje ya Nchi

    If UDOM is not a legacy then you have to find the new meaning of the word. Tatizo humu wamejaa watoto wa Shule. Kama unataka kuanzisha mada ya JK anzisha! Kuna watoto wengine wanasema JK ashitakiwe wanasahau aliyeua Rais wake!
  3. Nungunungu

    CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Really Mzee Mkapa ana akili sana. Kama huamini muulize yule Mzee aliyetaka Urais mwaka 2005 nini kilichompata kutokana na akili nyingi za Mkapa!! Asifiae mvua.....!!
  4. Nungunungu

    Nyongeza: Chaguzi zetu ni sambamba, siyo moja

    "Makuwadi wa Soko Huria" Makuwadi wa Uchaguzi!!
  5. Nungunungu

    Nyongeza: Chaguzi zetu ni sambamba, siyo moja

    Mwanakijiji, Ulisema mambo ya Zanzibar huwa huna habari nayo. Haya yanatoka wapi? Acha ukibaraka!
  6. Nungunungu

    Mzee Mwanakijiji "eti al - lila na fila hawatengani"

    Acheni kujitia ujuaji; mtoa mada hajakosea chochote. Mara ngapi tunasoma watu wakirudi makala za wengine tena kwa majina. Mwanakijiji kaamua kutumika na hizi ndio gharama zake. Kwani mtoa mada kishatoa thread ngapi wa kuwazungumzia watu. Sio huyu Mwanakijiji ambaye kule kwenye mada yake ya...
  7. Nungunungu

    Kuepusha Shari: Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Tume ya Taifa na CCM Kuhusiana na Kuaminiwa kwa Matokeo

    Shame on You Mwanakijiji! Umeona sasa kilichotokea Zanzibar. Aibu. Fedheha.
  8. Nungunungu

    Kuepusha Shari: Ushauri wa Bure kwa Mbowe, Tume ya Taifa na CCM Kuhusiana na Kuaminiwa kwa Matokeo

    Mwanakijiji, Matokeo ya Rais wa Tanzania yanakamilika bila ya kura alizopigiwa Zanzibar? Acha kuwahadaa watu....!! Ukisikia Double Standard ndio hizo zako. Eti sina habari na Zanzibar!!! Ungekuwa Mkweli ungesema na kwa Zanzibar; lakini umekubali kutumika! Wewe endelea na...
  9. Nungunungu

    Prof. Lipumba arejea nchini

    Vijana, Kwa sasa Target sio Prof Lipumba, Sio Dr Slaa. Go to the Issues please! Msikubali kuhamishwa kirahisi!
  10. Nungunungu

    Nisikilizeni CHADEMA: Tatizo ni UKAWA, Hili ndilo chaguo langu la rais wa 5

    Mwanakijiji, Vijana wadogo wanaweza kukuelewa. Kwa wanaojua siasa hasa za Tanzania unawahadaa Chadema. Mwaka 2010 Kura za Slaa hazikutokana na Uzuri wake bali chuki za kidini JK. Kama Lipumba alimpiga tafu JK basi TEC (rejea matamko yao) walimpiga tafu Slaa (haijaknushwa hiyo). With Magufuli...
  11. Nungunungu

    Julius Mtatiro ndani ya SAUT-Mwanza leo

    Ninyi vijana wageni Chadema msichokielewa ni kuwa mnapo inasibisha CUF na waislam au kejeli zenu Uislam cum udini hamjui kuwa kuna wanachadema wa ngazi za juu kabisa waislam wenye mapenzi na chama chao......Mtaje Mzee Bob Makani, Said Afri, Zitto Kabwe, Jafari Kasisiko,....hao wote ni waislam...
  12. Nungunungu

    Julius Mtatiro ndani ya SAUT-Mwanza leo

    Mara ngapi? Wakati kitu kikiongozwa/kikishikwa /kikianzishwa na Muislam hicho ni cha Udini -Uislam. Ndio vita yenu na CUF. Ndio vita yenu na JK. Angalau basi mngeiletea nchi maendeleo tungejivunia ninyi wachapakazi wetu!! Kikowapi na umasikini wetu, ujinga wetu, maradhi yetu! Kuna watu wanasema...
  13. Nungunungu

    Ansbert Ngurumo: Roma 1,300, CCM 50

    Mpiga debe wa Mkapa leo ndio anaiona CCM itakufa. Yupo dwati moja na swahiba yake mpiga debe wa Mwandosya. Baada ya kuhamia Billicanas leo ndio wanakuja na ngonjera za CCM kufa. Njaa mbaya sana. Sijui kwanini yule mwana CCM mtaka Urais kwa udi na uvumba hajawatembelea hawa Jamaa. Hakuna...
  14. Nungunungu

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Taratibu wafuasi wa Dr. Slaa wanaanza kuwa kama wafuasi wa Maalim Seif! Hawaoni chochote ila busara na kuona mbali!
  15. Nungunungu

    CHADEMA yaanza mikakati mizito ya ushindi

    Hivi humu bado kuna wajinga wanaamini nchi hii itakuja kuongozwa na Padri!!
  16. Nungunungu

    Kwanini JK hakubaliki ndani ya EAC?

    Dogo, ukichemka unakula kona kimya kimya. Umeingia na gia ya Miaka 50 ya Uhuru imegonga mwamba. Ukaja na udini ukapiga chini. Bado unaendelea kuzuga na ngonjera mpya. Hivi hujishtukii tu. Ulipaswa kujua kuwa choo ulichoingia sicho. Hatimaye watu wameshaijua vema sura yako halisi. Watu...
  17. Nungunungu

    Zanzibar Hiyooo: Mwendo Mdundo!!!!

    Ndugu, Tangu lini Kasheshe akawa Nungunungu. Muda wangu ni kidogo kuandika sana humu. Kweli wazanzibari watatuacha kwani sisi ni mabingwa wa kufanya vitu kwa mdomo; tunacheza mpira kwa mdomo, tunafanya kazi kwa mdomo. Mtu kaajiriwa na analipwa mshahara lakini anatumia hadi 4 hours za muda wa...
  18. Nungunungu

    UDASA Wagomea JAKAYA Kutunukiwa PHD ya HESHIMA

    Si useme tu aliyekataa ni Dr Kitila Mkumbo mshauri wa Chadema na makamu mwenyekiti wa UDASA!
  19. Nungunungu

    Kifo cha CUF hichoo... chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee?

    Watu huingia kwenye vyama na kutoka. Lakini historia pia hubadilika. TANU ilipoanzishwa wafuasi wengi walikuwa waislam. Mwenyekiti wa Chadema wa kwanza alikuwa Mzee Mtei (Mkristo), alipoondoka alichaguliwa Mzee Bob Nyanga Makani (Muislam) aliyeshindana na Ndesamburo. Kisha akafuata Mbowe...
  20. Nungunungu

    Kifo cha CUF hichoo... chaja! Upinzani kubaki CHADEMA pekee?

    Pasco, Nimeandika haya kwa heshima kwako kama mtu unaejitahidi kuchambua mambo. Ni wewe uliyeandika kuwa CUF ndio chama pekee chenye wabunge maeneo makuu ya nchi - Bara, Unguja na Pemba. Hiyo ni ishara kuwa alau kwa uchache kina wafuasi maeneo yote. Hebu fanyeni hesabu kidogo: Mwaka...
Back
Top Bottom