Search results

  1. Miss-Thang

    Hawa ndiyo wasomi wetu wa Chuo Kikuu cha Dodoma inasikitisha sana.

    Waingereza wao wanaongea kiswahili? Kutojua lugha si ujinga.
  2. Miss-Thang

    Sirari: Wananchi wakusanyika kituo cha Polisi baada ya Polisi kudaiwa kumuua mdogo wake John Heche, Suguta Chacha

    Kwa hiyo angekua kaka yako "KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi" ni sawa tuu akiuawa?
  3. Miss-Thang

    Sirari: Wananchi wakusanyika kituo cha Polisi baada ya Polisi kudaiwa kumuua mdogo wake John Heche, Suguta Chacha

    Mliogopa kuandamana msiuawe. Haya wanawafata huko huko mitaani. Hizi kesi zitazidi kuwa nyingi sana. Kama aliyeemuua yule binti(Akwilina) kaachiwa hivi hivi, watauwawa wengi sana. Na hivi mnajulikana waoga, hamuezi fanya kitu. Mtalalamika mitandaoni tuu.
  4. Miss-Thang

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Watu wa nje wana shida gani ya kuandamana. Wanajaribu kuwa-support nyie na kuwapa motisha mkomboe taifa lenu lakini akili nzitoo wala hamuoni. Watu wa nje wan uhuru wa kuongea, maji kwenye mabomba yao yanatoka masaa ishirini na nne, umeme hata hawajui unakatikaje. Watoto wao wanapata elimu...
  5. Miss-Thang

    Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Angalau wana courage ya kutoka...wangapi wamejificha uvunguni?
  6. Miss-Thang

    Utupu wa William Malecela: Je, tunaweza kuwaza tofauti?

    Duh! Wabongo tuna maneno jamani, lol!
  7. Miss-Thang

    Utupu wa William Malecela: Je, tunaweza kuwaza tofauti?

    Jitu zima hovyoo...limezalilika kweli. Wala silionei huruma, likome. Kutwa nzima kugombana na vitoto vidogo kama binti yake, matokeo yake ndio hayo. Mphewww!!!
  8. Miss-Thang

    Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

    How do you pride yourself for being a Whor**? Wanawake wa kiTanzania ndio tumejishusha kiasi hiki jamani. This is just sad. Eti mwanamke mjanja, mchukulie mmewe. Why not find your own man, stupi***!
  9. Miss-Thang

    Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

    Hiyo inaitwa kufru...Hongera zao. Mzee asije watafute tu!
  10. Miss-Thang

    KISUTU, DAR: Yusuf Manji afutiwa kesi ya Uhujumu uchumi

    Dah! Sasa watamlipa kwa kumsumbua hivyo? Ingekua nchi za watu angelipwa hela ya maana kwa huo usumbufu. Lakini bongo naona anashukuru tuu kuwa bado yu hai....Dah!
  11. Miss-Thang

    Rafiki yangu mke wake ana HIV, nini afanye?

    Mke miaka 15, Mungu baba, mbona mtoto huyo? Huyo jamaa yako ana umri gani?
  12. Miss-Thang

    Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai ataka wanaosambaza video ya mchele washughulikiwe

    Badala ya kufanya uchunguzi, wao wanataka kukamata wananchi. Wananchi wanajichukulia sheria mkononi sababu serikali iko busy kufuatilia mambo yasiyo msingi. Sad!!!!
  13. Miss-Thang

    Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    Identical twins aisee....duniani wawili wawili kwa kweli.
  14. Miss-Thang

    Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    Anasema "ASIYEFANYA KAZI NA ASILE"
Back
Top Bottom