Search results

  1. R

    Mbeya Jiji la Squatters: Dkt. Tulia tunaomba shughulikia hili

    Barabara Sasa ndo kivumbi
  2. R

    Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Umeongea kweli tupu mkuu, viongozi wa Jiji la Mbeya hawana ubunifu kabisa. Nakumbuka mara ya kwanza kufika Mbeya nilikua nashangaa kuona watembea kwa miguu wakifika barabara ya lami lazima wakung'ute miguu, nilikua kuelewa kumbe wanakung'uta vumbi. Kingine kicho udhi Mbeya traffic, barabara...
  3. R

    Nilifanikiwa kufungisha ndoa

    Rasta, hiyo asilimia 54% umeipataje??
  4. R

    Sipendi ugali kabisa na ninaishi

    Mimi nakuunga mkono, ugali ni chakula ambacho sikipendi kabisa, Nina miaka kadhaa sijala ugali, tena jumlisha na dagaa ndo basi kabisa. Nikija kukutembelea kwako nikakuta umepika ugali na dagaa azima niombe udhuru niondoke.
  5. R

    Kwa wataalam wa sheria masaada unahitajika

    Sasa jomba sinaende hapo dukani ili ajue kama kuna copy ya risiti au la ndioo aanze machakato wa kupata mwanasheria au dolari za kutosha.
  6. R

    Nifanye nini Mume wangu aache pombe na sigara? Hakuwa hivyo zamani

    Mna ndoa ya kanisani, msikitini au selikarini? Na chanzo cha kuanza kulewa na kivuta sigara ni nini? Isije kua wewe ndo chanzo.
  7. R

    Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

    Duuh,hii huwa inanikumbusha mbali sana. Tukio hili la kifo cha Baba wa Taifa huendana na kumbukumbu ya Mimi kuachwa na demu wangu kipenzi. Nakumbuka nilikua Mwaka wa kwanza SUA demu alikua Mwaka wa kwanza UDSM. Dalili za kuachwa zilikuwepo, Weekend ya tarehe 8 nilikua nimeenda ili kujua hatma...
  8. R

    Ugali wa jana

    Mkuu Bujibuji ngoja nikupe njia ninayotumia mie kutotupa ugali. Hakikisha ugali unaobaki unauhifadhi kwenye friji ukiwa bonge Moja (unaweza kuuviriga kwa shepu unayotaka). Asubuhi chukua Ugali ukate slesi jinsi unavyopenda, hizo slesi zinyunyizie chumvi na pilipili manga Kwa mbali. Andaa...
  9. R

    Ili kununua Bunduki hapa Tanzania naweza kuipata wapi?

    www.tanganyikaarms.co.tz majibu yote utapata na taratibu za kupata kibali. Kazi kwako
  10. R

    Hivi hii njia ya Mbeya Singida inapita wapi

    Ni njia moja nzuri sana kama wewe ni adventurous na unwpenda Ku appreciate nature na hupendi usumbufu wa magari mengi barabarani. Unatoka Mbeya kuelekea Chunya kuelekea Tabora. Njia panda ya tabora unaenda kulia itigi. You will enjoy.
  11. R

    Wanawake wanaovaa vi-min na vi-skin tight wameumbika vizuri. Wabaya wanaishia kutamani tu

    Hivi bado wapo wanaovaa undershirt/gagulo/shumizi kweli?
  12. R

    Kipande cha barabara usichokipenda ukisafiri

    Kipande kutoka Chunya Makongorosi hadi Sikonge
  13. R

    Je, wajua kuna uwezekano siku ya Muungano ndio siku muhimu zaidi kwa taifa letu kuliko hata siku ya Uhuru na Jamhuri?

    Ni kweli kabisa kuwa Tanzania ilizaliwa 26 April, na ndio siku tunayotakiwa kusherhekea. Mimi binafsi 26 April Ni muhimu kuliko 9 December. Nadhani kuna kitu nyuma ya pazia ambacho umma hatutakiwi kukijua. Mjadala mpana wa kitaifa unahitajika.
  14. R

    Diamond Apewe Tuzo ya Heshima Kwa Kukuza Kiswahili

    Ni sawa pia hata kama nyimbo nyingi zina maneno ya matusi, lakini pointi hapa ni kukuza na kutangaza kiswahili nje ya mipaka ya Tanzania.
  15. R

    Diamond Apewe Tuzo ya Heshima Kwa Kukuza Kiswahili

    Ni sahihi kabisa, Mimi niliingia YouTube ili nijue zaidi. Kweli watu wasiojua kiswahili wanashawishika kujua hata baadhi ya maneno machache
  16. R

    Diamond Apewe Tuzo ya Heshima Kwa Kukuza Kiswahili

    Mi kiswahili ninachokijua ni hiki hiki tunachoongea, kusoma Na kuandika.maana hata shule nilifaulu vizuri tuu somo la kiswahili. Sasa we unazungumzia kiswahili kipi. Diamond nae anaimba kiswahili kawada
  17. R

    Diamond Apewe Tuzo ya Heshima Kwa Kukuza Kiswahili

    Kwani kumpongeza mtu anaefanya vizuri na kuleta positive impact kwenye jamii ni kosa?
Back
Top Bottom