Search results

  1. W

    Je unajua kuwa wanaume weupe ndio wanaongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti?

    mada zingine kazi kwelikweli- ni vema kuto-generalize mambo kama haya ya uhusiano. usihukumu usije nawe ukahukumiwa....
  2. W

    Pinda akataa shangingi Toyota VX 8 ya Tsh 280 milioni!

    yap big up- hata mbuyu ulianza kama mchicha
  3. W

    Elections 2010 Nguvu ya Dr.Slaa Mwanza kumpeleka Kikwete tena Mwanza?

    I think saa ya ukombozi ipo karibu mno; kama sio mwaka huu basi 2015.... baada ya uchaguzi Dr. Slaa usilale endeleza mapambano mpaka kieleweke................................:A S thumbs_up: ciao
  4. W

    CCM Discount Card

    kweli wajinga ndio wanaoliwa ... heri anayeliwa bila kujua kuliko anayeliwa akijua Kalagabaho.... teh teh teh
  5. W

    take a look at this

    Hata kabla tunapenda kujenga kwa wenzetu, kwetu tunasahau. huku tukijisifia kuwa tunadumisha amani na kukomboa afrika. Sikushangai ndugu, kibonzo ni poa kinadepict hali halisi ya mtanzania: 1. Kama ni katika mambo ya Uchaguzi- Hana elimu ya uraia 2.Kama ni Kushughulikia matatizo- Mpaka...
  6. W

    Elections 2010 Kawambwa apiga magoti na kuomba kura kwa picha ya JK

    Kweli SIASA ni Utumwa; hasa ya kwetu tunapotafuta kuuaga umasikini kwa njia ya SIASA. kwani kama ni kutetea haki za watu sidhani kama angepiga goti.... Pole Ndugu yangu, piga magoti unajua unachokihitaji na ukikipata unasahau yote, hata ya wanaokubeza....... Lakini Uhuru ni mtamu mno kuliko...
  7. W

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Nionavyo ni kwamba Tanzania kama Nchi nyingi zilizo masikini ( hata kama ni matajiri wa kutupwa- madini/mafuta/ malighafi/ n.k) daima hufikiria MTU na sio Tunahitaji nini, na Raisi anakuja ili kututoa wapi na atufikishe wapi. Kifupi HATUNA mwelekeo wa wapi tuelekee. Hata H Clinton angemshinda...
  8. W

    Obama in Ghana

    Sometimes najiuliza, hivi mtu akitoa kauli za jinsi hii, anakuwa katika hali gani? nafikiri ndugu huyu alikuwa na furaha kupita kiasi au alizidiwa na emotions kama za furaha na anajikuta hajui anasema nini. ndio maana ndugu zetu wakenya walitamani aanzie kwao, nafikiri kwa tamaa au emotional...
Back
Top Bottom