Search results

  1. C

    Elections 2010 Nitalia na wabunge wa chadema

    dawa sio kutoingia bungeni bali ni kuingia bungeni na mikakati na kupata suluhu ya mianya ya ufisadi kupitia sheria, muswada wa mbunge binafsi kuhsu marekebisho ya sheria mbalimbali. hii itakuwa moja na dawa muhimu na sio vinginevyo
  2. C

    Elections 2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

    jambo lingine la kufanyiwa kazi ni 10 . kufanya mabadiliko katika sheria ya uchaguzi ili matokeo ya uchaguzi wa rais yawe na uwezo wa kuhojiwa na kutenguliwa na mahakama mara bada ya kutangazwa. Hii itasaidia kuondoa jeuri ya chama kilichopo madarakani kuchakachua matokeo, maana watajua...
  3. C

    Elections 2010 Dr. Slaa alikuwa anaongoza Kwa 61.6% - Marando

    CCM walijua watu wanawapenda ndio maana walikuwa na jeuri hata ya kuwatukana wapigakura lakini walipoona matokeo ya kura wakashituka. Tukumbuke mwanzo matokeo yalipoanza kutolewa na vyombo vya habari waandishi waliopo maeneo husika walitangaza matokeo ya ngazi ya urais, ubunge na udiwani kama...
  4. C

    Elections 2010 Habari za kiintejensia zinatangwa !?

    chama cha makamamba(ccm) wa kijeshi kinaweweseka, hakijui cha kufanya, kinajaribu kuwatisha watu kupitia vyombo vya dola ili wasidai haki yao, kamwe tusiogope tubebe hata matokeo ya urais tukawashitaki kwa baba zao watawanyoosha tu(wafadhili). pia tuweke mkakati wa kukifuta kabisa chama cha...
  5. C

    Elections 2010 Yaliyotokea kwenye majimbo haya yamenisikitisha sana

    hapana ndugu zangu kesi za uchaguzi kulingana na sheria ya uchaguzi zinatakiwa ziiishe ndani ya miaka miwili, hivyo tusipotoshwe. katika maaumuzi ya mahakama inaweza kutoa uamuzi kuwa 1. kumtangaza mshindi halali wa uchaguzi wa jimbo husika kwa kutengua mshinid aliyetangazwa awali, ikiwa...
  6. C

    Elections 2010 Yaliyotokea kwenye majimbo haya yamenisikitisha sana

    hapana ndugu zangu kesi za uchaguzi kulingana na sheria ya uchaguzi zinatakiwa ziiishe ndani ya miaka miwili, hivyo tusipotoshwe. katika maaumizi mahakama inaweza kutoa uamuzi kuwa 1. kumtangaza mshindi halali wa uchaguzi wa jimbo husika kwa kutengua mshinid aliyetangazwa awali, ikiwa ushahidi...
  7. C

    Elections 2010 Yaliyotokea kwenye majimbo haya yamenisikitisha sana

    hapana ndugu zangu kesi za uchaguzi kulingana na sheria ya uchaguzi zinatakiwa ziiishe ndani ya miaka miwili, hivyo tusipotoshwe. katika maaumizi mahaka inaweza kutoa uamuzin kuwa 1. kumtangaza mshindi halali wa uchaguzi wa jimbo husika kwa kutengua mshinid aliyetangazwa awali, ikiwa ushahidi...
Back
Top Bottom