Search results

  1. kuti kavu

    Ethiopia nao wamenunua ndege za mapangaboi kama za Tanzania

    hahahahahahahahahahahaha
  2. kuti kavu

    Utumiaji wa GNLD na Forever Living products ni hatari?

    nina maswali machache kuhusu FOREVER LiVING PRODUCTS.Hizi bidhaa kila kukicha napata sms,simu matangazo kuhusu umuhimu ktk afya n.k maswali yangu ni: 1. Kuna wangapi wamefaidika kiafya hapa nchini kutokana na kutumia bidhaa hizi (kwa mf kupungua uzito toka kilo mia mpaka kilo 70)??? 2. je...
  3. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hatari sana
  4. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    yaani hahahaha kikombe cha kahawa kinahusika
  5. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    walau kesho naweza kuingia ifisini kifua mbele...usiku mwema wadau
  6. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    na ninavowajua uefa k last 16 laxima watatupanga na Barca au Bayern 😔😔😔😔😔
  7. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    2-0 wat a goal from sanchez i just hope we acan protect the lead
  8. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    tatizo ni kuwa je tunaweza kulinda ushindi tangu tuongoze tatu bila halafu zikarudi zote tatu....moyo wangu umeingia ganzi
  9. kuti kavu

    Full Text: Ripoti ya PAC Bungeni kuhusu Tegeta Escrow Account

    hii pAp ni mrija wa wizi
  10. kuti kavu

    Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

    nadhani hatuhitaji waende likizo ya kutafuna mabilioni waliyokula tunataka fedha irudi na sio kwa staili ya fedha zitapelekwa kwenye kujenga maabara NO tunataka kuziona zikiwa kwenye akaunti kuwa zimerudishwa😡😡😡😡😡😡😡😡
  11. kuti kavu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kwa kweli mimi nimeshajikubalia kuwa msimu wa epl kwa arsenal umeshaisha na naanza kuamini kuwa mpka wenger atakapoa amua kuondoka ndo labda unafuu utaonekana
  12. kuti kavu

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    tbc taifa wanarusha online lakini tayari bunge limeahirishwa mpaka jioni
  13. kuti kavu

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    huku kwetu pia hakuna umeme
  14. kuti kavu

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    naona kama hii miongozo inatumalizia muda waanze tu kujadili hoja
  15. kuti kavu

    Jinsi tunavyoichafua Tanzania sisi wenyewe!

    ++TAARIFA HII IMETOLEWA KWENYE GAZETI LA UINGEREZA LA DAILY MAIL LEO++ (Tribe of Ghosts: Jacquelyn Martin's pictures of albinos in Tanzania | Mail Online) Tragic plight of the 'Tribe of Ghosts': Inside the centre where Tanzania's outcast albinos find refuge from murderers who kill them...
  16. kuti kavu

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    israeli ni ndogo sana ukifananisha na tanzania je tunaweza kuikanyaga kama kifaranga????!!! Tusihukumu uwezo wa kijeshi wa taifa kwa kuangalia ukubwa wa eneo lake cha kufanya ni kuchukua hatua stahiki juu ya kauli za rais huyu....
  17. kuti kavu

    Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa

    nJAA ni kitu kibaya sana: 1. Njaa imesababisha wasanii wenye nia ya kutumia sanaa yao kufanya maisha kushindwa kufanya hivyo kwa sababu wao wakigoma kulipwa pesa mkia wa mbuzi wanakuja WASANII NJAA WANAKUBALI HATA KUIMBA BURE ILI WAPATE PICHA ZA KUPOST FB 2. Pili wasanii kutotumia nafasi...
  18. kuti kavu

    Mauaji ya Padre Zanzibar: Rais Kikwete awataka wakatoliki kutulia, linashughulikiwa

    ...tangua jNA NIMESHIKA Tama nikijiuliza: MBONA MAUAJI HAYA YA VIONGOZI WA DINI (MAPADRE) HAYAKUWAHI KUTOKEA KWENYE AWAMU ZILIZOPITA???!
  19. kuti kavu

    Mashehe wa Bara Ongozeni harakati za kuupinga Muungano; Tanganyika isiidhulumu Zanzibar

    hakuna kosa kubwa kama KuCHANGANYA SIASA na DINI!...kuhusu hali ilivyo sasa NAIOGOPA CKU AMBAYO WAKRISTU WATAKAPOCHOKA NA KUAMUA KUCHUKUA HATUA JUU YA VI2KO NA VISA WANAVYOFANYIWA NA WAISLAM...
  20. kuti kavu

    Siku muungano kati ya bara na zanzibari ukifa!!!

    MAjuma machache yaliyopita niliwahi kuuliza "BARA INAFAIDIKA NINI NA MUUNGANO HUU KIASI KWAMBA ZANZIBAR WANATUMIA MAFANIKIO HAYO AMBAYO BARA INASEMEKANA INAYAPATA TOKA ZANZIBARI KUWA KIGEZO KIKUU CHA KUTAKA KUUVUNJA HUU MUUNGANO?" Swali hilo halikupatiwa jibu lililonyooka na hivyo nikabaki na...
Back
Top Bottom