Search results

  1. mvingira

    Polisi & CCM na hila za ugaidi CHADEMA: Wakamata house boys na girl wa Lwakatare usiku...

    Hao sisiem mwisho upo mlangoni na vibaraka wao wasiotumia akili na kubambika watu kesi
  2. mvingira

    Kangi Lugora, Deo Filikunjombe na Ester Bulaya ni nyota zing'aazo CCM

    Suala la kutoelewa kwa nini CCM wanakataa kura ya siri ni maajabu ya Dunia tena kubwa zaidi ni kama mwizi analia kabisa akiomba akuibie kwa hiari yako na akulazimishe uende polisi usimtaje ila useme nimeibiwa tu. Deo kaza buti, watanzania na wanaLudewa tunakuona
  3. mvingira

    EFD: Wafanyabiashara Sumbawanga wagoma kufungua maduka!

    Hawa Watanzania ambao wanataka kuendesha nchi bila kodi mimi binafsi siwaelewi, anyway labda nao TRA wanapenda sana wizi wa viini macho kama mashine moja ya EFD inauzwa dolla 120 inakuwaje wawauzie wafanyabiashra laki nane? Wafanye utaratibu zuri wa kisayansi na kifedha kupata malipo ya mashine...
  4. mvingira

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    naanza kupata wasi wasi hapa, Vijana kutumika kuua chama. Hawa vijana wanajua wao ni nani katika jamii ya Watanzania?
  5. mvingira

    'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    Very Good analysis, Uda and the rest, hongera sana. Je Watanzania woote wanaliona hili?
  6. mvingira

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    CDM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeee, Peoples Power, VOX Populi Vox Dei
  7. mvingira

    Papaa Msofe akabiliwa na kesi ya mauaji

    Kwa Mungu kila goti litapigwa. Fanya ufanyavyo malipo lazima, Huyu bwana ndio mwisho wake sala za wahanga na waliopatwa na majanga zimefika kwenye kiti chake MKUU.
  8. mvingira

    Matokeo ya utafiti

    Huu ndio ukweli Watoto wa Nyerere hatutaki, tuache propaganda Nashukuru sana kwa kusema ukweli.
  9. mvingira

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    tuna hitaji rais atakae badili hii nchi na watu wake lakini Zitto mmh!! hekima hakuna hapo
  10. mvingira

    Kuna ushahidi wa kutosha kwamba waziri mkuu alibadilishiwa hotuba yake ya awali...

    kama haiwezekani haiwezekani tu, JK huna uwezo wa solve matatizo ya WaTz. Moto haufunikwi na viganja vya mikono, utaachia tu au la utateketea wewe na mikono yako.
  11. mvingira

    Kweli wanaume wengine kazi ipo ......

    Kama angekuwa mwanamke, watoto aliacha na nani? Lakini mwanaume kazi kuleta michuzi huwezi jua labda mama alikuwa na utaratibu wa kupata michuzi kwa serengeti boy wake. Hapa kusameheana ndio deal
  12. mvingira

    Jairo ajiuzulu wadhifa wake

    jamani sasa nchi ishaolewa kabisa watoto mjiandae na mama wa Kambo
  13. mvingira

    Ulinzi wa ajabu Central Police kwa ajili ya Mbowe; asafirishwa kwa ndege ya JWTZ kwenda Arusha!

    wakati umefika CCM wajue wananchi wanahitaji nini na kwamba hawadanganyiki tena. Ninachowaomba watu woooote tuwaambie watoto ukweli wajue mapema wasijetekwa na watu wabaya.
  14. mvingira

    Elections 2010 NEC yakiri ilikosea matokeo ya Geita

    mimi nilikwambia ukiona baba analazimisha umwite baba hapo ujue hawajibiki kwenye nafasi yake. Halafu analazimisha kukutawala UDIKITETA Kikwete acha utaumia na familia yako kubali kushindwa
  15. mvingira

    Elections 2010 JK ndani ya Mwanza kuokoa jahazi la Masha

    Dikteta sifa zake zinajulikana, huhitaji kutumia nguvu kuwashawishi watu juu ya hili, yeye kama anawapenda wana mwanza aache wafanye mambo yao. Amechoka kuona watu wametulia kama sifa za shetani ni kuharibu na kubomoa tu. Mchawi akikuuo hawezi chukua sifa zako na uwezo wako ila furaha yake kuona...
  16. mvingira

    Elections 2010 Slaa yuko wapi?

    hIYO NI SAUTI YA SHETANI YULE YULE ALIYETUFANYA TUWE TULIVYO, SIKUSHANGAI ENDELEA NA MIHANGAIKO YAKO WAKATI SISI WATANZANIA TUNATAKA TUKUNYONGE KWA NGUVU YA MUNGU UMESHATUTES SANA. MUNGU YUPO UPANDE WETU
  17. mvingira

    Elections 2010 Arusha Mjini: Hali si shwari

    Hakika mungu yupo na watanzania atawapa viongozi maowataka tuongeza sara hawa ccm aibu kwao mzaha waweza fanya lolote muda wowote. Tuombe mungu awatwange woote wabaya wakalazwe wakirudi waone haki ishatendeka
  18. mvingira

    Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

    Hii ni nzuri, wakati wa kudanganywa umepita mtu afanye kazi sio kutukana watu
Back
Top Bottom