Rais Yupo sahihi kabisa MM nilisha fanya kazi hiyo Bank. Mabank ya sasa yana madudu mengi mno.Inawezekanje mtu mkufungua account bila vigezo vyote kama mhutasari? kama ulikuwepo nani alisaini? siku zilizo pita tulisha ona bank hiyo hiyo wafanyakazi hewa wamefungua account, wafanyakazi hewa...
Nadhani aliyeanzisha maada hii hata hajui siasa za Tanzania,kimataifa na ujinga wa hao mnaowaita wafadhili. Matatizo ya ZNZ unayoyaona yametokana na ubabe MCC inayojiita chama twawala,chama ambacho mwenyekiti wake ni JK. Kwa maana nyingine matizo ya ZNZ ingineer wake ni JK. sasa swali JPM...
.
Usije ukaingia kwenye biashara na uwekezaji na mawazo kuwa kuna faida tu. jua pia kuwa hasara ni sehemu ya biashara na ukweli investing is risky. lakini pia kuna mtaalamu mmoja aliandika kuwa what is risk in investing is not the investment but the investor him/her self. akimanisha kitu...
The Tanzania Global learning Agency (TGLA) will once again conduct ad short course for Data Analysis,Monitoring and Evaluation course in Arusha for 5 days from 14th to 19th March 2016. The course will cover basic topics in data analysis using Advanced excel and SPSS programs. The course will...
Pole sana. Ana umri gani huyo mtoto. jaribu hospitali zingine na utapata jibu. vifaa na ujuzi unatofautiana. kuna jamaa alikuwa na tatizo hilo pia. kama utashindwa huko nitafute nitakuunganisha nae akupe maelezo alichofanya kwa maelezo mtafute
0689417472
Huyu raisi yupo makini sana. Kadili ya labour law huwezi mwachisha mtu bila ushahidi wa makosa aliyofanya. Kwa vile cheo ni dhamana anakuondoa kwenye cheo ili upishe uchunguzi. kama unavyojua ukiondoka siri zako na madudu yako yatajulikana yote na ushaidi wa kukuondoa na kukushtaki utapatikana...
Pole Nashauri kuwa tujenge tabia ya kufanya utafiti kabla ya kufanya chochote na hata kabla ya kuandika chochote. Ingia kwenye mitandao, soma vitabu na vyanzo vingi vya habari kisha endelea. Nasema hivi kwa vile nimeona kasoro nyingi za watu wanaoandika hapa.
Pole sana. Endelea usikate tamaa. kama utakwenda hospital ukimwona specialist wa ngozi na dawa hazitakusaidi nitafute nikupe ushauri mwingine ujaribu njia nyingine. Lakini kwa sasa nashauri usitumie tena hizo chemicals kwa pengine hazikupendi.
Pole sana. Endelea usikate tamaa. kama utakwenda...
Pole sana dada. Operation siyo kitu kizuri sana ingawa itatatua taizo kwa muda na ni hatari sana. hayaa madaktari wetu huwa wakati mwingine huwa hawatuambii ukweli sana. lakini nilitaka kujua kama ulisha tumia njia mbadala na ikashindikana. kitu kingine ambacho madaktari huwa hawatuambii ni kuwa...
Asante Tutawajuza. Lakini kama kuna wengi watapenda hapa Dar Wanaweza kuwasiliana na Tanzania Global Learning agency (TAGLA) kwa namba 0786000020. Pia kama wengi watapenda tutaweza kuandaa hapa Dar Pia. Karibu
Taasisi ya Tanzania Global Learning agency (TAGLA) wataendesha course ya data analysis, Monitoring and Evaluation (M&E) huko Arusha, Tanzania kuanzia tarehe 23-28,November 2015. Katika kozi hii utajifunza namna ya kuandaa takwimu,kutathmini kwa kutumia program ya excel na SPSS na utapewa program...
Nashangaa kama mnadhani kuna kipya atakachofanya huyo JPM wakati ameingizwa na hao mafisadi madarakani. Bahati mbaya wengi uwezo wetu wa kutathimin mambo ni mdogo. atawezaje kufungua mahakama ya kufunga mafisadi wakati hao mafisadi ni watu walio madarakani na kwenye chama chake?. Je ataweza...
Pole. suala hapa ni kuwa unakula nini na kiwango gani! unaweza kula mlo mmoja wenye wanga mwingi,mafuta mengi nk badala ya kula mlo wenye rishe bora, kwa mwili na uzito huo inabidi ujue uzito sahihi unaostaili kadili aya urefu wako pia (yaani body mass index). nadhani unatakiwa kushauriwa au...
Pole. Kama ulisha tibiwa hospital basi tatizo lalishe zaidi.Ni matatizo ya kawaida kwa wazee,kina mama na wenye rishe zisizo kamilika. nk. tafuta suppliments foods au ushauri zaidi 0689 417 472
Mchango upo labda tatizo ni uwezo wa kuchanganua mambo kama serikali inapata kodi na waliojiajili wanapata kipato kiliko wewe unaejidai umeajiliwa na kulipwa mshahara mdogo na kufanya kazi masaa mengi. Kama tatizo ni uwakala hizo bidhaa za kichina na zingine zilizo jamaa madukani hao wanaouza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.